FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kama haupo kwenye media basi somea jappo kidogo
hii passion yako sio mchezo
utapendeza ukiwa kwenye radio au tv ukizungumza kuhusu football
[emoji3] [emoji1] [emoji1] swali la kichokoz mkuu
Vp huyu everlenk alipaswa kuwa nani? maana kila jukwaa ni timu yake[emoji13]
 
ndiyo maana kocha alimpuumzisha busketi? ila kukosekana Pique, Iniesta na Alba kunanipotezea confidence. timu yetu ukiacha first eleven hatuna sub za kutisha. RM unakuto anatoka Benzema anaingia Morata. sisi anatoka Suarez anaingia Paco au dennis!
Uko sahihi yani Barcelona nje ya first eleven hatuko vizur sana
 
1477937386455.jpg
 
MANCHESTER CITY vs BARCELONA

SAA 4:45 USIKU

BARCELOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOONA VIVAAAAAAAAAAAAAA
 
1 M. ter Stegen
4 I. Rakitić
5 Busquets
9 L. Suárez
10 L. Messi
11 Neymar
14 J. Mascherano
19 L. Digne
20 Sergi Roberto
21 André Gomes
23 S. Umtiti
 
hiki kiusukani kinajiangusha kama kinyani
 
Back
Top Bottom