PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Nishamjibu mkuu labda kama nawe una swali ruksa kuuliza[emoji4]Hujamnukuu vibaya kweli? Bailly5 kataka matokeo ya mechi ya juzi weye unatoa msimamo wa kundi lenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishamjibu mkuu labda kama nawe una swali ruksa kuuliza[emoji4]Hujamnukuu vibaya kweli? Bailly5 kataka matokeo ya mechi ya juzi weye unatoa msimamo wa kundi lenu.
Shukran tupo pamoja sina swali ila nilipenda kukupongeza kuna andiko lako moja ulikiri baada ya first 11 hamna kikosi kipana ndo maana inapotokea injuries inawapa tabu pale uliweka unazi pembeni ukaongea kiuanamichezo.Nishamjibu mkuu labda kama nawe una swali ruksa kuuliza[emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa mkuu Tunakukarbisha Camp NouShukran tupo pamoja sina swali ila nilipenda kukupongeza kuna andiko lako moja ulikiri baada ya first 11 hamna kikosi kipana ndo maana inapotokea injuries inawapa tabu pale uliweka unazi pembeni ukaongea kiuanamichezo.
AGG vipi ndugu. Nipe matokeo ya Jumannekiujumla Barcelona ilishinda AGG ya 5:3 huku MESSI akitupia 4 [emoji4]
Barcelona walilazimishwa kupoteza kwa jumla ya Goli 3 baada ya kuanza soka safi huku wakitangulia kufunga goli maridad na kumilik mpira kwa mda woteAGG vipi ndugu. Nipe matokeo ya Jumanne
Sasa walilazimishwa vipi tena? Mlipigwa tatu. Unajitetea eehBarcelona walilazimishwa kupoteza kwa jumla ya Goli 3 baada ya kuanza soka safi huku wakitangulia kufunga goli maridad na kumilik mpira kwa mda wote
UNA LINGINE MKUU[emoji41]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mimi nafikiri nimekujibu vzur ila haya unayoyasema sasa ni yako wewe [emoji1] [emoji1] [emoji1] LEO ZAMU YA MAN4NGOSasa walilazimishwa vipi tena? Mlipigwa tatu. Unajitetea eeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usifananishe man u na vibonde barcelona[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mimi nafikiri nimekujibu vzur ila haya unayoyasema sasa ni yako wewe [emoji1] [emoji1] [emoji1] LEO ZAMU YA MAN4NGO
Nafikir shetani anachukiwa na kila mtu pamoja na matendo maovu ila sivipendi vitu vitatu katika dunia hiiUsifananishe man u na vibonde barcelona
wazee wa futuhi wameshaa chezea kimokoUsifananishe man u na vibonde barcelona
anaspidi lakini?View attachment 429073Huyu jamaa atue tu Nou Camp.
huyu atatufaa sana. tunahitaji right back wanaoweza kuassist.View attachment 429073Huyu jamaa atue tu Nou Camp.
Hukumuona alivyomnyoosha yule beki wa arsenal??[emoji16][emoji16]yule anaecheza kuliaanaspidi lakini?
Belerin alitoa ulimi njeanaspidi lakini?
You're simply the best, Better than all the rest, Better than anyone-Tina Turner.This season:
Most goals in La Liga: Messi, 7 GOALS
Most goals in Champions League: Messi, 7 GOALS
Best player in the world