FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hiiiii
Asee bora nikutane na Umtiti
Mi sina haja ya kukutana na second best player mr Messi.

Watakiwa ukutane kwanza na yule dogo akuonyeshe mpira jinsi unavyochezwa then akupe appointment ya kuonana na teacher mwenyewe, Umtiti yeye ni mkabaji tu hatokusaidia chochote! Labda Mascherano kidogo...
 
Back
Top Bottom