Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Messi ni mtu poa sana"Messi alipokutana na shabiki wake mtoto kutoka Afghanstan Murtaza Ahmadi. Mtoto huyo alipata umaarufu mtandaoni baada ya kuonekana akiwa amevaa mfuko wa plastiki wa mistari na kuandika jina la Messi"
View attachment 446641
Iceman njoo huku kwa Murtaza Ahmadi akupe maujuzi kidogo.....
Messi ni mtu poa sana
hakika mkuu nyuma ya MESSI ni MARADONA na mbele ya MESSI ni MARADONAView attachment 446809
Binafsi bado sijaona mchezaji like messi katika ulimwengu wa soka mpaka now....
Before Nilikuwa namkubali sana "The Genuine Phenomenon Diego Armando Maradona from Lanus" But' but sijajua what will happen baada yake?? Ndio tunamshuhudia The King kuwahi kutokea katika soka,na kutupatia burudani tosha kabisa, na jina lake linaanzia na LM" La pulga" from Rosario Central....
Ukitaka kumuona anaye mzidi messi uwe una angalia mechi za Real Madrid na Portugal. Anaitwa king Cr 7View attachment 446809
Binafsi bado sijaona mchezaji like messi katika ulimwengu wa soka mpaka now....
Before Nilikuwa namkubali sana "The Genuine Phenomenon Diego Armando Maradona from Lanus" But' but sijajua what will happen baada yake?? Ndio tunamshuhudia The King kuwahi kutokea katika soka,na kutupatia burudani tosha kabisa, na jina lake linaanzia na LM" La pulga" from Rosario Central....
tupo mkuu hawa ni watani zetu hvyo hatuwezi washambulia sana ila tunachotaka ni point 3All the best...... mhhhh mbona kumepoa hivi?
wale wakatalunya wenzetu hawatuumizi kichwa. ila jirani anatunyima raha, si mapochopocho hayo anayokula.All the best...... mhhhh mbona kumepoa hivi?
Miss you!All the best...... mhhhh mbona kumepoa hivi?
Sijui kwanini wamemueka Bench Arda.SUB
13 J. Cillessen G
4 I. Rakitić
7 A. Turan
12 Rafinha
17 Paco Alcácer
19 L. Digne
23 S. Umtiti
[emoji123]Goooool
1'Luis Suarez
Assist by don andres
B 1-0 Esp
All the best...... mhhhh mbona kumepoa hivi?
[emoji123]