BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Gooool...king Messi' Assist by Sua...
B 4- 1 Esp....
Now Dakika ya 91
B 4- 1 Esp....
Now Dakika ya 91
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtangazaji anasema it is unfair to have Messi in your team. i agree.Gooool Gooool
Bonge la goli, Suarezzzz..assist by Messi
kwa individual skills hana mpinzani. zile moves za goli la pili siyo za sayari hii.FIFA player award inamhusu sana tena sana.. labda wamfanyie uhuni tu...
Kweli kabisa, this guy is the best.Hakuna MTU hapa duniani ambaye atafanishwa na messi.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ushawahi ona katumbo kake?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]mtangazaji anasema it is unfair to have Messi in your team. i agree.
ila iniesta anapiga mpira mwingii. hivi Ter ataweza kumzuia Cavani?
kwa individual skills hana mpinzani. zile moves za goli la pili siyo za sayari hii.
mkuu umemaliza kila kitu!Ukitaka kumuona anaye mzidi messi uwe una angalia mechi za Real Madrid na Portugal. Anaitwa king Cr 7
Sio kosa lako tatizo huangalii mechi za timu nyingine
Business.mkuu umemaliza kila kitu!
wakati wao wanahangaika kupiga chenga kijiji, mnyama cr7 anaendelea kujikusanyia makombe tuu![]()
kwa individual skills hana mpinzani. zile moves za goli la pili siyo za sayari hii.
Missing u mo.Miss you!
Poa kipenzi wajionaje hali?Mambo habibtii..
Poa kipenzi wajionaje hali?
Jana wakati wa Mechi nilikuwa nimechoka sana lakini niliacha goli moja nikaona upepo utakuwa mzuri tu.