FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Jamani mmemuona king kama kawaida yakeeee????kachambua mabeki wa4 akashut lika-gonga kwa kipa sua akamaliza kazi.

Goli la pili nalo hivyo hivyo kalamba chenga mabeki wa4, aka assists kwa Jordi then goooool
 
Back
Top Bottom