Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hwa watangazaji wa Bein sport ni akina nani?? hakuna football commentators wakali kuzidi hawa jamaa-kiingereza wana ki turn inside out na madoido makali sanaJack...Watangazaji wa kiarabu ni noma aise huwa nafurahia utangazaji wao hata kama lugha inanipiga chenga lakinii...ila wazungu hamna kitu ni wabaridi mno, so kama una Bein sport au Abu dhabi ni raha tupu...fungua hiki kipande kidogo umsikie😀😀
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna clip ya You tube ya kiarabu wakati Messi anawapanga one after the other back ya Espanyol-mtangazaji anasema allah,allah,allah,allah na mara Suarez ku bury ile rebound ya kipa,mike ikaanguka kwa kishindo. Blip ya Barca imekwisha na sasa ni full steam ahead. Magazine za Spain zinasema ule uchezaji wa Barca ni "Poetry in Motion"
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Anayemshindanisha Messi na Cr7 haujui mpira.messi has the most trophies, the most ballon d'ors, most outstanding goals, most show stopping nutmegs, most incredible dribles, most amazing skills, most stunt assists!
Ronaldo will always be second best as long as messi is still alive.
Leonel Andres Messi is not the best player in the world, he is the best player of the entire solar system!
Anavunja rekod za nani?tehetehetehetehe chenga twawala,; so what?
cr7 anaendelea kuvunja marekodi na marekodi nyie endeleeni kusifia chenga
Diego armando maradona & peleAnavunja rekod za nani?
Itaje rekodi ya Maradona iliyovunjwa na MmoroccoDiego armando maradona & pele
Itaje rekodi ya Maradona iliyovunjwa na Mmorocco
Itaje rekodi ya Maradona iliyovunjwa na Mmorocco
Kwani maradona ana rekodi gani ya kumpita ronaldo!?Akija na majibu ntajing'ata...
Na ile ya kupiga chenga kuanzia katikati ya uwanja kampita[emoji1]Kwani maradona ana rekodi gani ya kumpita ronaldo!?
Zaidi ya kuchukua Kombe la dunia,
Magoli Ronaldo kampita
Apps Ronaldo kampita
Makombe ngazo ya klabu ronaldo kampita.
Heck Ronaldo kavunja rekod ya pele ya kufunga 50+ goals kwa misimu mitano, yeye kafunga kwa misimu sita.
Hail to the king CR 7.
Hizp tuna ziita rekodi za mbwembwe sasa.Na ile ya kupiga chenga kuanzia katikati ya uwanja kampita[emoji1]
Hizp tuna ziita rekodi za mbwembwe sasa.
Kuna rekod moja hiyo Ronaldo ndio hawezi kujivunia, kachukua la liga moja tu. Hilo tatizo tuna lishughulikia kwa kuchukua la liga ya msimu huu.
Kwani maradona ana rekodi gani ya kumpita ronaldo!?
Zaidi ya kuchukua Kombe la dunia,
Magoli Ronaldo kampita
Apps Ronaldo kampita
Makombe ngazo ya klabu ronaldo kampita.
Heck Ronaldo kavunja rekod ya pele ya kufunga 50+ goals kwa misimu mitano, yeye kafunga kwa misimu sita.
Hail to the king CR 7.