GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,300
Sawa mkuuNaona wameamua kumpa chance. akionyesha utepetevu Pique yuko hapo nje ataingia.
View attachment 462826
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuNaona wameamua kumpa chance. akionyesha utepetevu Pique yuko hapo nje ataingia.
View attachment 462826
haka kauwanja! halafu wamekapunguza urefu na upana. wanasema matusi ya mashabiki wachezaji wanasikia hata akiongea mmoja. ila baada ya goli tumepiga mpira mwingi. kipindi cha pili tutapata goli nyingi sana.Hivi viwanja vingine bana-utafikiri tuko dunia ya tatu-wanataka tu kutuumizia players-hii playing surface just leaves a lot to be desired
King gani anayeondoka?Daaaah barcelona bado kuna kitu inamisi ile fludity ya barca haiondkani. Halafu king anaondoka sijui itakuweje?
Mess the king of the kings nimepitia website yao mess anasema I will stay barca if they need me to stay. Na ameshaaanza kuulizia kama anaweza kupata nyumba ya kuishi jiji la manchester kupitia Alex sanchezKing gani anayeondoka?
au source ni blog ya Shaffih Dauda?
Ahsante, akikujibu tena naomba umpuuzie.How about benzema? Hahaaa, kucompare winger na defender ni kwa goal statistics ni kuthibitisha yoh lack football maturity! By the way, ukiona timu inashinda kwa magoli ya defenders ujue frontline hamna kitu!
Sawa, Asante kwa taarifa.Mess the king of the kings nimepitia website yao mess anasema I will stay barca if they need me to stay. Na ameshaaanza kuulizia kama anaweza kupata nyumba ya kuishi jiji la manchester kupitia Alex sanchez
Wakati juzi kwenye Press amesema i will end my career in Barca,labda Bartmore apandwe na wendawazimu ndo atamuachia Messi in brief kabla ya mwezi wa 4 contract yake itatoka utakua mkataba ambao utaitingisha dunia mark my wordMess the king of the kings nimepitia website yao mess anasema I will stay barca if they need me to stay. Na ameshaaanza kuulizia kama anaweza kupata nyumba ya kuishi jiji la manchester kupitia Alex sanchez
Mascherano atasimamia shoo ya defensive midfielder. get well soon Busquets.