FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

tangia nimeanza kuangalia mpira Europe sijapata kumuona refer mbaya kama wa leo huyu jamaa amna akili kama za makonda
 
tangia nimeanza kuangalia mpira Europe sijapata kumuona refer mbaya kama wa leo huyu jamaa amna akili kama za makonda
 
ameharibu sana game ya leo ,huyu kocha nadhani suruali yake itakua na zeep nyuma sio bure aaaaagh4rrr yaani Suarez angempiga hata ngumu nisingemlaumu hata kidogo kumbe wapuuzi wa kiwango cha rami wako wengi sana Spain
 
hii gemu. cheki njano! tunashukuru tumepita. cillessen na busketi walijitakia.
 

Attachments

  • upload_2017-2-8_1-3-51.png
    upload_2017-2-8_1-3-51.png
    31.2 KB · Views: 36
Najua tunaenda fainali ila nina kinyongo sana there was no reason ya Suarez kutokucheza fainal hata goli lao ni lakupewa hawa mbuzi....warudi kwao Madrid and i promise this another trophless year for At Madrid wakizubaa hata UEFA tutakua hatuwaoni !!kama huyu Felippe luiz ana chuki binafsi na Messi hadi commentator amenikumbusha hapa last time alimchezea rought last year akapigwa red usicheze na MESSI is another level halafu jamaa anachuki za ajabu sana huyu dada
 
internet yangu leo imezingua sana next time nitumie mtandao gani?hizi match channel nyingi hawaonyeshi nilijaribu SS4,Azam haonyeshi shida tu
 
Barca msimu huu kule mbele strikers wanapata taabu cause defenders wame find a way ya kujazana kati penetration imekuwa taabu- Neymar kupitia kwenye flanks ndio anayewafikisha Barca deep inside enemy territory-tushukuru against A Madrid tuna cushion ya magoli otherwise absence ya Neymar could have been deeply felt
Nimejiquote-absence ya Neymar kwa timu kama hizi ni pigo - hii mechi ingekuwa nyepesi sana angekuwepo Neymar-mawili either ange assist AU most probably angepata penalt-nothing can compensate speed na control ya Neymar akiwa in full flight anaelekea golini
 
Back
Top Bottom