FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kabsa mkuu...huyu jamaa buree kabsa....mm alinikera sana kumbadil no.s.roberty wakat dogo alianza kukamua vizur sana kwenye game kubwa akiwa kama kiungo..yaan huyu kocha hawez kusoma hata mienendo ya wachezaji na Aina ya uchezaj

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Luis Enrique katk ubora wake...mathiue anaanza halafu Alba benchi tena mbele ya atletico..Mungu atuongoze kama kocha tunae
Ha ha jamaa namuogopa sana kwa kuchoma yaani ni kweli kabisa Proposal ya Messi kuuza takataka zote na watuletee class A players tena Gomes apelekwe hata kwa mkopo Yanga
 
Back
Top Bottom