FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Half time 0-0. Hii game tough sana aisee. Rafinha atoke aingie Rakitic. Tunammiss Jordi Alba ile style yake ya kupanda leo haionekani.
 
dakika kadha za mwisho tumeonesha uwezo mzuri i hope neymar na messi watafanya maajab soon...tuwe na subira
 
Back
Top Bottom