mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Sijawahi kukosea mkuuPSG akikaa goli sita nahama nchi mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kukosea mkuuPSG akikaa goli sita nahama nchi mimi
Sijawahi kuhama nchiSijawahi kukosea mkuu
We 3D maisha yalivyokua magumu hivi bongo si nitampiga chura teke?Sijawahi kuhama nchi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]We 3D maisha yalivyokua magumu hivi bongo si nitampiga chura teke?
6-1 Neyma... goal la 2[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ndio ujue
Kwanza lazima wawafunge
Pili mkishinda nyingiiiii, yaan siku hiyo kwao wanakuwa walilala bar labda
Itakuwa 3-1, yaan hiyo pia wawe wamepewa na red card.
Haahaha6-1 Neyma... goal la 2
Ulisema utahama Trump akiwa rais[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijawahi kuhama nchi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ulisema utahama Trump akiwa rais[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We can do it you know [HASHTAG]#IbelieveInBarca[/HASHTAG]Haahaha
Aiezekani asee
No this time you cantWe can do it you know [HASHTAG]#IbelieveInBarca[/HASHTAG]
Ila mi sjaelewa sasa unalalamika nini wakat mna ongoza 2-0!!!wametunyima penalty ilatumepiga mpira mwingi, hasa Neymar. ila Rafinha ajitahidi kuona wenzake.
PSG watakuwa wanaangalia hii mechi.PSG atakaa kati ya goal 5 au 6-1 Camp Nou
Mkuu rafihna bado utoto inamusumbua lakn [emoji817] tyms bora yeye kuliko gomezwametunyima penalty ilatumepiga mpira mwingi, hasa Neymar. ila Rafinha ajitahidi kuona wenzake.
Hahahahaaaa...toa siasa humBila Shaka ww utakua mbunge ama diwan ama unania hyo....kwenye blue ya kwanza
Mkuu rafihna bado utoto inamusumbua lakn [emoji817] tyms bora yeye kuliko gomez
hutajazoea goli chache. unafikiri Suarez anajisikiaje hadi sasa hajafunga🙂? hawa leo ni revenge. inabidi wale 6.Ila mi sjaelewa sasa unalalamika nini wakat mna ongoza 2-0!!!