FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nashauri mechi yakesho walicheza fainali ya Uefa wangepumzishwa haswa midfielder.
 
dont mess with Barca !!

Mathieu ;;They lacked humility' - Mathieu says Barca punished PSG for showing no respect

 
PEOPLE of your calibre ndio wanasababisha nchi yetu mama,Tanzania ibaki nyuma katika Nyanja zote za kitu inayoitwa Michezo
IMG-20170310-WA0018.jpeg
 
Magazeti yote ya Barcelona ya leo yanataka quarter final ichezwe against R Madrid- yanadai on this form Madrid kupigwa 5 ni possible.
Bookmakers mechi dhidi ya PSG walikuwa na shaka kwamba Barca wangefanya kitu mbaya-,for Barca to go through waliweka hela ndogo,na PSG kuendelea waliweka hela nyingi
Ndio maana ime be titled match of the year 2017 and in reality we were against all the odds in the world i.e we played against the world kwa tunaoijua team yetu hatukua na wasi wasi hata mimi my personal perspective nishasema huko juu naitaka Real Madrid
 
Kelele za mashabiki baada ya goli la 6 la Sergio Roberto zilirekodiwa ktk Ritcher Scale kufikia 1.0 hivyo kuitwa micro - earthquake


87e290fbb57159146ba4b90d237aee0b.jpg



Another supporter told ESPN FC that he, too, had given up after Cavani's goal, only to desperately scramble for the remote control to switch the channel back when he heard fireworks and beeping horns on the streets.


All that noise -- although perhaps above all the roars and celebrations from the 96,920 people at Camp Nou -- led to a recording on the Richter scale at the Jaume Almera Institute of Earth Sciences (ICTJA-CSIC), which is less than a mile from the stadium.

Barcelona's second and third goals had already nudged the centre's recordings, but it was the match-winning goal from Roberto which led to a recording of 1.0 on the Richter scale, officially making it a micro-earthquake.

"As the end of the game approached, everything changed. With the sixth goal, there is the greatest earthquake of its type recorded at ICTJA-CSIC," researcher Jordi Diaz told Diario Sport.

It's unlikely, though, that the tremors were felt by people in the city -- it's only when 3.0 is reached that people would feel anything.
 
IMG-20170311-WA0001.jpeg
Kisa Barcelona Ay na FA watupiana vijembe, Ridhiwani Kikwete alitabiri matokeo.


Kati ya mashabiki maarufu wa timu ya Barcelona hapa nchini ni msanii wa kizazi kipya Ambwene Yessaya almaarufu kama AY.Furaha ya AY haikuisha jana usiku kwani hadi saa hizi amekuwa akishindwa kuzificha hisia zake huku akiendelea kumtania mtani wake na rafiki yake wa karibu Mwana FA.

Mwana FA ambaye ni mtu wa karibu wa AY amekuwa akiishambulia Barcelona ambayo ni timu ya AY akidai kwamba wamebebwa.FA anapinga Barcelona kupewa penati mbili na AY amemjibu Mwana FA kwa kumuambia kama anaona magoli hayo siyo ya halali baasi akayatoe.Mwana FA hakubaki nyuma baada ya kuabiwa hivyo na AY aliibuka tena na kumjibu AY kwamba hayo magoli ya kubebwa yakitolewa baasi Barcelona nao wanatoka.

AY leo asubuhi tu kulipokucha aliibuka na moja ya mstari maarufu wa Mwana FA unaosema “kuzoea zoea watu mwisho utazoea majini”.Lakini AY yeye akasema “kucheza cheza na timu mwisho mtacheza na majini” kauli ambayo ni kama onyo kwa wote ambao watakabiliana na Barcelona.AY anaifananisha Barcelona na majini walioshindikana na kiasi kwamba ni ngumu kuwasimamisha.

AY leo asubuhi alitupa kijembe kingine kwa wapinzani wao akisema wanatamani usiku uwe mrefu asubuhi isifike.Kama hiyo haitoshi AY alimrudia tena Mwana FA na kumuambia matani aliyojiandaa kumtania AY sasa ajitanie mwenyewe.Ni kama AY alipania kumnyamazisha kabisa FA kwani alimuambia wao wamefunga goli sawa na nafasi ya Man United katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza.

Kabla ya mchezo kuanza mshabiki mwingine mkubwa wa Barcelona nchini Tanzania ambaye ni mtoto wa zamani wa raisi wa Tanzani na pia ni mbunge wa Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete alisema yake.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ridhiwani alipost picha akiwa kwake na jezi yake ya Barcelona.Katika picha hiyo Ridhiwani aliandika: “Niko tayari kuithibitishia dunia kuwa sisi ni kiboko.”

Baada ya post hiyo kuliibuka kundi la mashabiki wasioipenda Barcelona.Wengi walionekana kumpa pole huku wengine wakimuambia ajiandae kwa msiba wa Barcelona,Ridhiwani aliwajibu kwa kuwaambia “nyie chongeni mimi nafanya yangu” lakini hivi sasa wengi wanampongeza kwa matokeo ya juzi.
IMG-20170311-WA0000.jpeg
 
Hivi unajua mambo haya 6 kutoka katika ushindi wa BARCELONA dhidi ya PSG


1.IMEKUWA TIMU YA KWANZA KUPINDUA MATOKEO BAADA YA KUFUNGWA 4-0 MCHEZO WA KWANZA.Mwaka 2004 katika mchezo kati ya Ac Millan na Deportivo almanusra litokee jambo kama hili lakini Deportivo walipata bao 1 ugenini.Toka kuanzishwa kwa Champions League hakuna timu ambayo imeshawahi kufanya hichi walichokifanya Barcelona.

2.BARCELONA INAKUWA TIMU YA KWANZA KUFUDHU 8 BORA MARA 10 MFULULIZO.Kitendo cha Barca kuitoa PSG pia kimewapa rekodi hii.Hakuna timu yoyote katika Champions League ambayo imefanikiwa kufudhu katika hatua ya 8 bora kwa mara 10 mfululizo,wao ndio wakwanza kufanya hivyo.
3.LUIS SUAREZ ANAWEKA REKODU MPYA YA UFUNGAJI.Katika michezo 65 ambayo Suarez ameichezea Barcelona amefunga mara 64.Hii ina maana kwamba ni sawa na kufunga goli moja katika kila mchezk kati ya hiyo 64 kasoro mchezo mmoja.
4.FAULU YA KIPA NDIYO ILIWAPONZA PSG.Kama uligundua goli la ushindi la dakika ya 95 la Sergio Roberto lilitokana na faulu aliyofanyiwa golikipa wao Marc Andre Ter.Bila golikipa huyu ni wazi kwamba pengine lile goli lisengetokea kwa kuwa chanzo cha goli kisingekuwepo.
5.SEKUNDE 420 ZILIWATOA PSG.Hadi inafika dakika ya 87 Barcelona hawakuwa na matumaini kuwatoa PSG.Lakini sekunde 420 sawa na dakika 7(kuanzia dakika ya 88 hadi 95 ziliwatosha Barcelona kuwatoa PSG.Magoli matatu ya Barcelona yalipatikana ndani ya dakika hizi 7.
6.NEYMAR AMEMPITA PATRICK KLUIVERT KATIKA UFUNGAJI.Goli alilofunga Neymar lilikuwa goli lake la 21 katika Champions League na hivyo kumfanya kukaa juu ya mkurugenzi wa PSG Patrick Kluivert katika orodha ya wafungaji wa muda wote katika champions league ndani ya Barcelona.Ni Lioneil Messi tu mwenye magoli 94 na Rivaldo mwenye 22 walioko juu ya Neymar kwa sasa.
 
Goli la Sergio Roberto laisumbua twitter.


Baada ya goli la 6 la Sergio Roberto dhidi ya PSG mitandao ilikuwa busy haswa Twitter.Dakika 7 baada ya goli hilo kila mtu alikuwa akitweet kuhusu goli hilo,Sergio Roberto aliufanya mtandao kuwa busy sana na kila mtu alisema lake kuhusiana na bao hilo.Dakika 7 baada ya mchezo huo twitter ilikuwa slow kutokana na tweets zilizokuwa zinatumwa.

Thiery Henry aliishiwa maneno na kuandik tu “waooooooooooowwww” kwake aliona ni jambo ambalo hajui hata aseme nini.Naye kiungo wa Everton Ross Barkley alikuwa akiangalia mchezo huo kupitia television naye akakiri kuwa amelishudia tukio hilo,kupitia ukurasa wake wa twitter Barkley aliandika “Nilichokishuhudi ni moto” akikiri mziki wa Barcelona ulikuwa moto.

Beki wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand amekiri hiyo ni comeback kali kuwahi kuiona katika maisha yake ya soka “sijawahi kuona timu ikibadilisha matokeo kama leo” aliandika Ferdinand. Joey Barton kiungo mkorofi naye hakuwa nyuma kupitia ukurasa wake aliandika “sijawahi kuona kitu kama hiki.”

Rory Smith mmoja kati ya wanamichezo maarufu nchini Canada yeye aliandika tu “mungu wangu” akionekana kushangazwa na kilichotokea.Tim Peach muigizaji maarufu nchini Uingereza na Ujerumani yeye alienda mbali zaidi kwa kuutumia mchezo huo kuwatania Arsenal.Peach ameandika “leo ndio nimejua kwanini Wenger anafaa kuwa kocha wa PSG” hii inatokana na Wenger naye kupewa kipigo kikubwa toka kwa Bayern.
 
Back
Top Bottom