FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

IMG-20170408-WA0002.jpeg
 
Jaman nimenyong'onyea Andres Gomes anaanza kucheza daaaah
Mungu anaona tusaidie tu tuondokane na hili dudu la koromije
 
GOMES matak* saana sasa anakosaje pale kwa kujilegeza
Mpira wa kuutuliza kwa mbele yeye anasubil unite il aukimbize... Daaah hil chezaj hapana aisee..Mara Mia moja acheze mwenye no.yake Sergio Robert kuliko nyang'au huyu...

Chezaj Zito kama Lina dambi..yaan hamna hata movement kama mid..limeganda kama robot na kila likikaba inakua faulo..yaan halijawin mpira hata mmoja
 
Huyu ndie Sergio Robert haswaa...kiungo cha kat Katka ubora wake...kuchezeshwa namba mbil n kumharibu huyu mtoto
 
Hapo ndipo wazee wa come back za week 3 wanajua " no body ca n stop reggae "
 
Me imeniuma sana kadi nyekundu hakukuwa na sababu ,halafu Andres Gomez huyu hata Ndanda FC hawezi kutakiwa he doesnt deserve to play Barcelona Louis Enrique sijui aambiwe mara ngapi?anaua morale ya wachezaji
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sijui kuna nini msimu huu au kombe halitutaki?it was a great chance leo ya kukaa Top permanently
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom