Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haswaaa....nahc anatumwagia mboga labda kwa sababu ameamua kuondokaMe imeniuma sana kadi nyekundu hakukuwa na sababu ,halafu Andres Gomez huyu hata Ndanda FC hawezi kutakiwa he doesnt deserve to play Barcelona Louis Enrique sijui aambiwe mara ngapi?anaua morale ya wachezaji
Jamaa me namuitaga RobbotCzan hata majukum yake uwanjan kama huwa anayajua huyu Gomez...mchezaj asie nyumbulika wala kufanya movement Katka kiungo cha kat n hatar sana...mzto, foot work mbovu, pas zenyewe zero..ngoja nilale
Mim mwenyewe RMkuu hunizd mm...yaan kocha fala sana
We ulishahamia Congo? Hakuna internet huko man eeh maana haupatikani[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
wazima humu jamani!!?
hapa Bukavu madalali wana zingua sana so nilikuwa natafuta nyumba ni settle.We ulushagamia Congo? Hakuna internet huko man eeh maana haupatikani
mkuu seriuosly upo congo?hapa Bukavu madalali wana zingua sana so nilikuwa natafuta nyumba ni settle.
ila now naendelea poa
wala sio kocha mbovu, wachezaji wenu ndio wazembe, sasa kama jana ulitaka jamaa afanye nn!? na ujue mna mechi kat kat ya wiki hapotukisema Enrique ni kocha mbovu watu hawatuelewi. nilivyomuona Gomes na Mathieu nikajua tuna hali ngumu. huu ni upumbavu mkubwa.
eeehmkuu seriuosly upo congo?