FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

100tyms Sergio roberty angeanza kiungo kuliko Gomez....huwez kumpanga Gomez na Mathew tena bek ya kat, pamoja then utegemee team iwe na efficiency...Gomez Hana msaada wowote wakat Mathew ana errors nying sana...
 
Me imeniuma sana kadi nyekundu hakukuwa na sababu ,halafu Andres Gomez huyu hata Ndanda FC hawezi kutakiwa he doesnt deserve to play Barcelona Louis Enrique sijui aambiwe mara ngapi?anaua morale ya wachezaji
Haswaaa....nahc anatumwagia mboga labda kwa sababu ameamua kuondoka
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Czan hata majukum yake uwanjan kama huwa anayajua huyu Gomez...mchezaj asie nyumbulika wala kufanya movement Katka kiungo cha kat n hatar sana...mzto, foot work mbovu, pas zenyewe zero..ngoja nilale
 
Czan hata majukum yake uwanjan kama huwa anayajua huyu Gomez...mchezaj asie nyumbulika wala kufanya movement Katka kiungo cha kat n hatar sana...mzto, foot work mbovu, pas zenyewe zero..ngoja nilale
Jamaa me namuitaga Robbot
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
wazima humu jamani!!?
 
tukisema Enrique ni kocha mbovu watu hawatuelewi. nilivyomuona Gomes na Mathieu nikajua tuna hali ngumu. huu ni upumbavu mkubwa.
wala sio kocha mbovu, wachezaji wenu ndio wazembe, sasa kama jana ulitaka jamaa afanye nn!? na ujue mna mechi kat kat ya wiki hapo
 
Back
Top Bottom