FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hakuna club yenye mafanikio makubwa kwenye miaka kumi ya mwisho, pia hakuna club itakuwa on fire misimu yote!!! Na uzuri kocha anaondoka mwisho mwa msimu, I hope atakuja mzuri zaidi yake!!
Kwa maana hiyo tusiwe wanyonge kiasi cha kukosa amani ya maisha kwa mda mrefu!!!
[HASHTAG]#Forca[/HASHTAG] Barca# Visca Bacra##
We losses together we win togather
 
18010814_773560649474513_9211179897356282533_n.jpg
 
As a Barca fan, nilijua/na kuwaambia toka mwanzo kuwa msimu huu Barcelona tusitegemee chochote kwa sababu moja kubwa -Kocha hajui anachokifanya, hajui nini afanye wakati gani, kukomaa na watu wasiokuwa na uwezo sababu tu aliwasajili, na weekend hii akipanga kikosi cha kizembe, Madrid ni lazima waue
you guys mna kikos kibovu kocha hana tatizo
 
Tantalila za PNC 1 na wenzake zinaanza kupungua mdogo mdogo mpaka ikifika mida hii Jumapili watakuwa washahamia Atletico au Juventus.
 
Sometimes we lose. Sometimes we win. But one thing never changes: we are BARCA and we’re the best club in the world
Haya ndio maneno ya shabiki wa kweli wa timu yake vipindi hivi huwa vipo kwa kila timu poleni jamani.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Tantalila za PNC 1 na wenzake zinaanza kupungua mdogo mdogo mpaka ikifika mida hii Jumapili watakuwa washahamia Atletico au Juventus.
Kabla ya kutafuta timu unatakiwa ujiandae kwa kipigo cha mbwamwizi hapo Bernabeu hakika itakuwa siku mbaya kwa Zidane maana mmezoea mbeleko
 
Fair play game over hongera Juve ,hongera sana Barcelona kwa kuonyesha mpira mzuri you are still the greatest team in the world OVER
Enzi ya barca imeshapita messi sahv ni bingwa wa kuweka rangi nywele kuliko kucheza mpira
 
Enzi ya barca imeshapita messi sahv ni bingwa wa kuweka rangi nywele kuliko kucheza mpira
Story za vijiweni hizi ,hivi nikuulize UEFA top scorer mwaka huu ni nani?top scorer laliga ni nani?au standard za wapi unatumia?
Halafu utapoamini watu no wanafiki kiwango cha lami hata enzi wanazozisema ni za Barca still hawakuikubali

Messi ni best striker wa spain kwa mwaka wa 8 mfululizo is that competition or dominance?think twice usifuate mkumbo wa vilaza brother use facts
 
Back
Top Bottom