FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

kama kuna timu inaongoza kwa watoto wazur na wanaojielewa ambao sio mabashite humu JF ni FC BARCELONA

TUNAJIVUNIA UWEPO WENU
asee huyo atahamishwa hiyo timu, skujua kama mli muhadaa akaja kwenu [emoji28]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
hahaha, hamna itabid ahamie tim ya familia asee, kipindi skuwepi namsamehe [emoji28]
sema mlijikusanyia warembo humu safi sana
mshabiki andazi upo?🙂🙂 unajua Messi ndiyo anaongoza kwa magoli kwenye el Clasico. hakuna mchezaji wa Madrid hajawahi dhalilishwa na Messi. hadi Cr7. Marcelo tayari amepatwa na sonona. wanasema imesababishwa na pre-traumatic stress disorder.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
yaan Barca hii ni ya kunitisha mim!!?
Messi anaongoza nakubali, toka akiwa teenager ana chezaga el classiko kwann asiongoze ninge mshangaa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Katika Historia ya mpira hakuna Timu Bora Imewahi kutokea kama BARCELONA na kila mtu amejaribu kusifia na kuzungumzia hili kwa wakati wake.....Najua wengi wenye chuki na BLAUGBRANA washawahi kukutana na kichapo Heavy kwahiyo wana visasi.....acheni hizo tullieni angalieni mpira mzuri wa watoto wa catalan.......
Vivaaa Johhan Cruyff! The Maestro
Love BARCELONA
 
Sio kweli Mimi naichukia na timu yangu haijawai kupata hicho kipigo .
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
yaan Barca hii ni ya kunitisha mim!!?
Messi anaongoza nakubali, toka akiwa teenager ana chezaga el classiko kwann asiongoze ninge mshangaa
kuna watu kama Raul wamecheza mechi nyingi kuliko king lakini kawazidi magoli. ana rekodi pia ya assists 13.
 
upload_2017-4-22_11-30-47.jpeg
 
Attachments

  • upload_2017-4-22_11-30-24.jpeg
    upload_2017-4-22_11-30-24.jpeg
    39.7 KB · Views: 28
Kesi yoyote ikipelekwa CAS basi ile hukumu inakuwa suspended hadi appeal isikilizwe upya nahisi neymaar anacheza leo kama kweli barca wamefanya second appeal
 
Barca mbovu mbovu lazima mchezee kichapo mtuondolee hizi kelele. Mmetolewa [HASHTAG]#UCL[/HASHTAG] lakini bado mnachonga duh!
 
Back
Top Bottom