FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Anachokifanya Zidane kwa wachezaji wa Madrid castilla sicho Anachokifanya Lucho kwa wachezaji wa la masia mwangalie Munir? Sandro? Grimaldo? Na wengineo
Liondoke hil li kocha...linatumia pesa nying wakat Lina wachezaj wenye vipaj weng kupita maelezo...huyu palcio c bora Sandro...? Yaan unauza gar mpya unanunua mtumba
 
  • Thanks
Reactions: GUI
Enrique anaondoka wadau hapaswi kutusumbua kichwa sasa, sema barca inabidi watangaze kocha mwingine aaze kujipanga vzr
 
Mkuu halilovic ndie best player wa sporting gijon wa mwez huu...anakamua Ile mbaya...n bonge la attacking mild field...huyu anatisha sana..Sema ndo tatzo la lucho..kutumia kina gomez wasio kuwa na msaada kabsa kwenye team
Halilovic si yupo palmas?
 
Screenshot_2017-05-01-20-13-32-1.png

Happy anniversary leo ya mfalme the nightmare ,king ,Great Messi
 
Leo wanaume wanacheza UEFA na Atletico Madrid nyie mnacheza na Nani??
 
Nasikia hashimu Rungwe amevunja screen ya mume wake na Shakira! Baada ya mnyama cr7 kutupia la 3!!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Nasikia hashimu Rungwe amevunja screen ya mume wake na Shakira! Baada ya mnyama cr7 kutupia la 3!!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf kuna raha hadi nasahau matatizo na vituko vyote wanavyotufanyia wale wasukuma 2
 
Idadi ya magoli ya Messi from day 1 siku kama ya leo 2005View attachment 503503

Hahaha!...mkuu,kiuhalisia LEO10 ana long way kufikia GOAL-SCORING record ya CR7...maana wakati nyinyi mna furahia HEADER 22 za Messi...Madrid wanasherekea HEADER 63 za Ronaldo...ikiwemo na moja aliyofunga kweny derby juzi UEFA!!!

Screenshot_2017-05-03-14-02-30.png
 
Hahaha!...mkuu,kiuhalisia LEO10 ana long way kufikia GOAL-SCORING record ya CR7...maana wakati nyinyi mna furahia HEADER 22 za Messi...Madrid wanasherekea HEADER 103 za Rinaldo...ikiwemo na moja aliyofunga kweny derby juzi UEFA!!!

View attachment 504237
Mkuu unaelewaga unachokisoma???hopeless kabisa
 
Back
Top Bottom