FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Idadi ya magoli ya Messi from day 1 siku kama ya leo 2005View attachment 503503

Hii Nayo unaijua...LEO10 amefikia magoli 500 kwa barca baada ya miaka 12 huku CR7 anamagoli 400 kwa Madrid katika miaka 7 tu...Na kumbuka ni tofauti ya misimu mitano CR7 amezidiwa Na messi apo Spain...hii Ina maana kuwa goal scoring rate ya CR7 kwa madrid katika kila msimu ni nzuri kuliko LEO10...Yani CR7 ana wastani Wa goli 57 kwa kila season aliocheza LALIGA While LEO10 ana wastani Wa goli 42 kwa kila msimu aliocheza LALIGA...Kiwepesi ni kuwa "IF CR7 WAS MOVED TO REAL-MADRID ONLY A TWO SEASONS EARLIER... HE WOULD OVERCOME MESSI SCORING RECORD FOR BARCA"...Mind it or not!!!

Screenshot_2017-05-03-16-01-16.png
 
Nimekuelewa ulichokiandika ila hiyo ni kama Hint tu ya goals za header tu nilikupa ukiwalinganisha hako mafahari Wawili.
Kwani nani amekuambia kufunga lazima upige header?halafu hilo tangazo mbona liko clear ni statistics za mtu mmoja? we umeona comparison yoyote hapo?halafu utamlinganishaje leo na mtu ambaye amecheza mach 200 zaidi yake na age yao ni different?
 
Unachokisema kina ukweli lakini dunia haijui hilo wao wana regard wote ni players of the same ERA...although they have age differences...

Screenshot_2017-05-03-15-05-34.png Screenshot_2017-05-03-14-45-58.png
 
Ila mwisho kabisa LEGEND THIERRY HENRY kamaliza kihiviii juu ya hao watu...

Screenshot_2017-05-03-13-36-46.png
 
Ila watani tuacheni masihara hapa...Yani hawa WATOTO WAWILI NI WAKOROFI SANA...Yani walimchomolea mwenzao GAME-PAD asicheze UEFA...mungu atawalipa tuu Na hawatoweza kuleta kombe SPAIN(In jokes voice...)

C-1BJEtW0AA3zLE.jpg
 
Kumbe sio sisi tu madridista naona ata bwana LEO10 alikuwa akienjoy HAT-TRICK za [HASHTAG]#mafyaCR7[/HASHTAG] moja kwa moja mujarabu kutokea kwenye TV yake home...hivyo wanaohisi amechukia kwa ile HAT-TRICK ni waongo tena sanaa...

C-2WRqLWsAAAqi3.jpg
 
Hii Nayo unaijua...LEO10 amefikia magoli 500 kwa barca baada ya miaka 12 huku CR7 anamagoli 400 kwa Madrid katika miaka 7 tu...Na kumbuka ni tofauti ya misimu mitano CR7 amezidiwa Na messi apo Spain...hii Ina maana kuwa goal scoring rate ya CR7 kwa madrid katika kila msimu ni nzuri kuliko LEO10...Yani CR7 ana wastani Wa goli 57 kwa kila season aliocheza LALIGA While LEO10 ana wastani Wa goli 42 kwa kila msimu aliocheza LALIGA...Kiwepesi ni kuwa "IF CR7 WAS MOVED TO REAL-MADRID ONLY A TWO SEASONS EARLIER... HE WOULD OVERCOME MESSI SCORING RECORD FOR BARCA"...Mind it or not!!!

View attachment 504239

C--S2LkXoAA8nK3.jpg
 
Hili jukwaa mmebaki against Ronaldo tu. I don't think you will take Copa Del Rey so easy, and that's something you should worry about.

Your thought about what we win or lose doesn't matter at all, same as what we post, Your pal made inexcusable comparison earlier and I was just straightening the fact of who's the Boss between the two Greatest athletes. Whether you like it or not, Messi is far ahead Mr. PAGAN
 
Then I wasn't wrong, that's all you have this season. Keep nagging but Cristiano and Real Madrid have got only 6 games away from the 2 trophies this season.
 
Hili jukwaa mmebaki against Ronaldo tu. I don't think you will take Copa Del Rey so easy, and that's something you should worry about.
La liga bado tupo hai. utashangaa sana ukijikuta huna kombe lolote msimu huu. kwa Bonucci na Chiellini sioni Cr7 akivizia.
 
Today in 2012, Messi scored 4 goals vs Espanyol in Pep Guardiola's final game as Barcelona coach.
2764.png
2764.png

C_D3OrfXYAAkT2b.jpg
 
Highest Squawka Performance Score in Europe's top 5 leagues this season:

L. Messi (2,122)

E. Hazard (1,643)

Thiago (1,388)

Mind the gap.
 
leo saa moja unusu Villareal wanakuja machinjioni. pia kuna hii habari vutizi.

Perhaps the best news for the Blaugrana ahead of Saturday’s clash is that the villain of January’s match, Bruno Soriano, is missing through injury. The Spanish international made headlines for all the wrong reasons with his two handballs in the area to deny Barcelona clear goalscoring opportunities in the eventual 1-1 draw – two calls that were missed by the referees. Without Bruno, Villarreal’s midfield typically finds it tougher to control possession and launch counter-attacks as efficiently as they otherwise might, a factor that Enrique’s side should look to take advantage of.

Other absentees who featured in the last match between the two teams include Victor Ruiz and Sergio Asenjo, two of the pillars of the Villarreal backline in central defense and in goal respectively. However, even in their absence the Villarreal defense has been as impressive as ever and Barcelona will face a stern test tomorrow.

FORM GUIDE
 
Back
Top Bottom