Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hao jamaa wa japannaona wana mdhamini mpya. sio wakimbizi tena!!
Game mbichi sana hii[emoji102]
ni kweliGame mbichi sana hii
Yeah ndio sponsors mpya huyuInasemekana hizi ndio jezi za msimu ujao
dogo yuko poa sanaMarlon ndio best fit ya Gerald Pique huyu dogo muangalieni ana bright future
Hata kule kwenu bado jua kali piani kweli
ila ndugu zangu wengine hapa siwaoni kabsa
Ana discipline ya mchezo na anajiamini sanadogo yuko poa sana
yeah ni kweli asee.Hata kule kwenu bado jua kali pia
Tupo mkuu. Nacheki mlivyobanwa na serengeti wanavyozingua.ni kweli
ila ndugu zangu wengine hapa siwaoni kabsa
huyu dogo wa moya wa barcelona anacheza fresh.Tupo mkuu. Nacheki mlivyobanwa na serengeti wanavyozingua.
Ukilikosa mwaka huu tena itaku cost 5 years tena ulipateyeah ni kweli asee.
ngoja tusubiri
😀😀😀😀😀 hizi nane zitafika kweli???Pale ni Camp Nou unajua kabisa tunafanya kitu gani wale madogo wamefungwa goal kidogo zitakua 8
Mbona nimesikia wako sober house🙂🙂huyo.sandro wachezaji wakiondokaga barca wanakuwaga wazuri. Si unamcheki pedro.huyu dogo wa moya wa barcelona anacheza fresh.
haha wewe unawategemea wabongo!! hao ni kicgwa cha mwanda wazimu