mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Game zimebakia dk 45 sina wasiwasi hata kidogo ni makosa tu madogo tunahitaji kurekebisha tumepata nafasi za kufunga zisizopungua 6 tumekosa😀😀😀😀😀 hizi nane zitafika kweli???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game zimebakia dk 45 sina wasiwasi hata kidogo ni makosa tu madogo tunahitaji kurekebisha tumepata nafasi za kufunga zisizopungua 6 tumekosa😀😀😀😀😀 hizi nane zitafika kweli???
ha ha ha ha hizo naona ni vice versa mnaongezwa nyie tuGame zimebakia dk 45 sina wasiwasi hata kidogo ni makosa tu madogo tunahitaji kurekebisha tumepata nafasi za kufunga zisizopungua 6 tumekosa
nadhani tutachukuaUkilikosa mwaka huu tena itaku cost 5 years tena ulipate
yeahMbona nimesikia wako sober house🙂🙂huyo.sandro wachezaji wakiondokaga barca wanakuwaga wazuri. Si unamcheki pedro.
sioni mkifungwa ila pia sioni mkiwa mabingwa.Game leo imetukataa anyways ngja dk 20 ni nyingi kwa Barca
Hii ni nutmeg ya karneHILI GOLI LA MESSI LINGEKUWA BALAA ENDAPO LINGEKUBALIWA