FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Alves wana defend deep hasa katikati nyuma tunahitaji kupafanyia operation
 
Huyi Messi sijui ni mtu kweli?kapiga chenga mtu tatu then kapasia Alcacer kajifungia kirahisi....!!Barca 3 Alves 1 halftime
 
Umemuona big sam anavyowazuia watoto na Gomes anavyocheza poa leo?i ddnr expect huyu mtu ku improve hivi natamani aachwe msimu wa mwisho aendelee kujifunza
Sam ni next level. Kuna moja amenichezea kule hadi sikuamini. Umeona gomes mashabiki wanavyomshangilia. Amechange sana gomes. Abaki kwa kweli. Ni mchezaji mzuri hajapata tu steps za mziki. Fikiria Man na RM walikuwa wanamfukuzia.
 
Sasa mimi nakuambia ni assistant coach wa barca[emoji23] ,angalia mpira wa kupendeza sana second half ningependa king au Neymar apige hatrick
Kuna ndugu mmoja anapenda kumuita Neymar hivi " Neymar junior do Santos king Pierre nkurunzinza namshtobe kipangusile kikutoboacho" [emoji23] [emoji23] [emoji23] huwa nafurahi sana kuchek nae game
 
Back
Top Bottom