Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi ni habari njema sana. Neymar naye kasema anafuraha sana na maisha ya barca.View attachment 546073
Ama kweli adui muombee njaa Madrid eti wamemuuza Morata na kumuacha Benzema?duuu nimeamini kweli Madrid ni sehemu ya kuua vipaji its better aka shine vizuri Stamford Bridge
Neymar amegoma kuzungumzia kuhusu uamisho,source nyingi toka Brazil zinasema anataka kuondokaHizi ni habari njema sana. Neymar naye kasema anafuraha sana na maisha ya barca.
Neymar I don't think kama anataka kuondoka,lakini anapenda kuwa centre of attention,hizi story trust me in one way or another anahusika-maturity yake ni suspect sana.Ku satisfy ego yake,he is rocking the boat.Neymar amegoma kuzungumzia kuhusu uamisho,source nyingi toka Brazil zinasema anataka kuondoka
kweny barca blaugrane wameweka maneno yake ya lastweek.“The last one was my best season in Barcelona. I am very adapted to the city, the club and I am happy here. That is reflected on the performance of an athlete,” Neymar said in an interview with Goal last week.Neymar amegoma kuzungumzia kuhusu uamisho,source nyingi toka Brazil zinasema anataka kuondoka
Issue ya usajili haijaanza last week imeanza Juzi/Jana na Neymar alivyorudi Barcelona leo wakati wanajiandaa kwenda pre-season US waandishi walikuwa wanamuhoji akagoma kuzungumzia.Na source ya habari za Neymar kutaka kuondoka zinatokea Brazil sio Spainkweny barca blaugrane wameweka maneno yake ya lastweek.“The last one was my best season in Barcelona. I am very adapted to the city, the club and I am happy here. That is reflected on the performance of an athlete,” Neymar said in an interview with Goal last week.
“It was the season where I felt more comfortable, even though we did not win the titles we would have wanted.
“We played great games and lived incredible moments. Now, we need to work for the 2017-18 season so it will be even more positive individually and as a group.”
Kuishi kwenye kivuli cha Messi kunamsumbua sana inasemekana moja ya sababu za yeye kutaka kuondoka ni baadhi ya wachezaji alipendekeza wasajiliwe na Barca (Coutinho,Lucas Lima) management imegoma kuwasajili.Tangu mwanzo usajili wa Neymar haukuwa mzuri kwa BarcaNeymar I don't think kama anataka kuondoka,lakini anapenda kuwa centre of attention,hizi story trust me in one way or another anahusika-maturity yake ni suspect sana.Ku satisfy ego yake,he is rocking the boat.
Kivuli cha Messi kinamsumbua kivipi?mbona hajalalamika Suarez? Huu ni uzushi tu Messi is the best on his own way ,we fans we can prove it with our naked eyesKuishi kwenye kivuli cha Messi kunamsumbua sana inasemekana moja ya sababu za yeye kutaka kuondoka ni baadhi ya wachezaji alipendekeza wasajiliwe na Barca (Coutinho,Lucas Lima) management imegoma kuwasajili.Tangu mwanzo usajili wa Neymar haukuwa mzuri kwa Barca
Hii combination ya Messi na Suarez ndio inambeba,huko PSG the truth will dawn on him like a ton of bricks-cannot wait for the conclusion of this episodeKivuli cha Messi kinamsumbua kivipi?mbona hajalalamika Suarez? Huu ni uzushi tu Messi is the best on his own way ,we fans we can prove it with our naked eyes
Halafu nikuambie kitu kuna watu judgement zao ziko partial kwa sababu wanaangalia match mara moja moja sana ya team ambayo anaifanyia judgement ,Barca inafika kipindi kila player anazingua kuipa team ushindi then Messi kwa individual brilliance yake anatukabidhisha ushindi tutamtupa vipi mkono mtu kama huyo?Hii combination ya Messi na Suarez ndio inambeba,huko PSG the truth will dawn on him like a ton of bricks-cannot wait for the conclusion of this episode
Nilishasema somewhere on this thread,kwamba no player is bigger then Barca-labda Messi tu, cause kuwepo kwake on the pitch ni equivalent na having two or three extra players-time and again ana cheza football inayo defy logic-the ball in his feet au appearing out of nowhere in the box to a sublime finish,leaving one defender after the other in his wake.Even fellow proffessionals he makes football look so easy.Nani atasahau baada ya winning goal against R madrid-he took off his jersey to rightfully proclaim his rightfull place in soccerHalafu nikuambie kitu kuna watu judgement zao ziko partial kwa sababu wanaangalia match mara moja moja sana ya team ambayo anaifanyia judgement ,Barca inafika kipindi kila player anazingua kuipa team ushindi then Messi kwa individual brilliance yake anatukabidhisha ushindi tutamtupa vipi mkono mtu kama huyo?
Thats why key player Barca ataendelea kua Messi mmoja wapo ili ubadilishe reign inabidi ufanye makitu zaidi yake ,for me benchmark ya ubora wangu duniani ningempita huyo the best performance yake ndio dunia yenyewe tungekubali you the best
poaa boss
Ronaldo anashine akicheza na benzema kuliko morata.hii ndio sababuView attachment 546073
Ama kweli adui muombee njaa Madrid eti wamemuuza Morata na kumuacha Benzema?duuu nimeamini kweli Madrid ni sehemu ya kuua vipaji its better aka shine vizuri Stamford Bridge
Wewe labda fani yako ni kuchambua finance tu,combo ya morata na CR7 iko poa sanaRonaldo anashine akicheza na benzema kuliko morata.hii ndio sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huangalii mechi za real MadridWewe labda fani yako ni kuchambua finance tu,combo ya morata na CR7 iko poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia future ya Real Madrid miaka mi 4 ijayo lazima u delete ma file ya CR7 na Benzema the only striker ni Morata even Zidane alijitahidi kum hold (kipindi amepelekwa on loan Juventus) akamrudisha lakini nina wasiwasi haya ni maamuzi ya Perez money monger
Ana kadalili ya kukosa loyalty yaani he is not realy loyal mara aseme anafurahi sana kucheza na messi mara adai hataki kuwa chini ya kivuli cha LeoMessi anyway kama psg wataleta hio hela naishauri bodi ya Barca Kumuachiaa!