Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huwezi kumlaumu deleouf,ni mchezaji wa kiwango cha chini siku zoteTatizo la Deleouf alikua hapigi mipira ya outer i.e haingizi mipira ndani (cross) na pass accuracy zake kuingiza ndani ilikua very poor
Asikuambie mtu Real utawala wao una mipaka pale Catolonia ,Coach anatakiwa ajipange tu turudishe heshima
Ikiwezekana hata leo wachezaji waamshwe alfajiri kabisa kwa ajili ya mazoezi
Terstegen sijui amepatwa na nini?
Best diver ,yule refa safi sana kwa hawa watu wanaofanya simulation,
Mkuu ifike mahali tukubali tu kwamba Madrid wapo kwenye fomu na chemistry yao imeiva tofauti na nyie,hivi unadhani kule mbele toka 1st half wangeanza Ronaldo,Isco na Asensio achilia mbali Lucas ingekuaje? Maana kina Bale na Benzema ndio walichelewesha game otherwise jana mty angekula 5 kavu kabsa.Best diver ,yule refa safi sana kwa hawa watu wanaofanya simulation,
Nadhani uliona madhara yakuiga Messi's style-Red card sent off the field
Technically Madrid ni wabovu tu goalkeeper na Vidal wake tu ndio wametuzingua
acha ushabiki, kama wabovu mbona wamekuweka?? na wewe hukufurukuta kwa lolote na kama refa angekuwa makini madrid angetoka na clean sheetBest diver ,yule refa safi sana kwa hawa watu wanaofanya simulation,
Nadhani uliona madhara yakuiga Messi's style-Red card sent off the field
Technically Madrid ni wabovu tu goalkeeper na Vidal wake tu ndio wametuzingua
We jicho lako linakengeza Barcelona wamepata nafasi nyingi sana za kufunga na first half yote Madrid hawakuweza hata kufika 18 ya Barca ,kwenye football tulianza kupoteza game pale ambako hatuku record goals otherwise my team is better na we gonna come back tunahitaji marekebisho tuMkuu ifike mahali tukubali tu kwamba Madrid wapo kwenye fomu na chemistry yao imeiva tofauti na nyie,hivi unadhani kule mbele toka 1st half wangeanza Ronaldo,Isco na Asensio achilia mbali Lucas ingekuaje? Maana kina Bale na Benzema ndio walichelewesha game otherwise jana mty angekula 5 kavu kabsa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata umchukie kivipi, CR7 ni tormentor in chief wa Barca, yaonyesha anajisikiaga raha sana kuifunga barca, barca hawana hamu nae huyu mnyama tena Nou Camp utadhani ndo anakuwaga nyumbani, anapapenda sana!Best diver ,yule refa safi sana kwa hawa watu wanaofanya simulation,
Nadhani uliona madhara yakuiga Messi's style-Red card sent off the field
Technically Madrid ni wabovu tu goalkeeper na Vidal wake tu ndio wametuzingua
We mpira umeujulia wapi ,Messi na Ronaldo nani ni terminator kwenye kiwanja cha mwenzake?kama ulikua haujui Messi alibalehe mara ya kwanza hatrick dimba la Benabeu tena aliingia kama subHata umchukie kivipi, CR7 ni tormentor in chief wa Barca, yaonyesha anajisikiaga raha sana kuifunga barca, barca hawana hamu nae huyu mnyama tena Nou Camp utadhani ndo anakuwaga nyumbani, anapapenda sana!
Jana nashangaa jordi alba ananyumbulika kama winger halafu cha ajabu winger anaruka ruka tu kama anacheza rede na dada yake....yani winger anajificha pembeni kuingia ata kati hawezi kucheza kama midfielder denis suarez baadae atakuwa kama isco angendelea kukokaa kimpira ana kitu cha ziadaHamna mtu au beki amecheza vizuri sana jana kam Umtiti credit kwake ,ila Coach anatakiwa amuanzishe Macherano pia au Semedo
sasa mkuu kama avarage player tumemrudisha pale kufanya nini tenaMkuu huwezi kumlaumu deleouf,ni mchezaji wa kiwango cha chini siku zote
Sent using Jamii Forums mobile app
He was beast jana ,ameitendea haki sana left flank na akawa anarudi ku defend kama kawaida,kwangu mimi alikua ndio man of the match ukijumuisha vigezo vyote vya ku attack na ku defendJana nashangaa jordi alba ananyumbulika kama winger halafu cha ajabu winger anaruka ruka tu kama anacheza rede na dada yake....yani winger anajificha pembeni kuingia ata kati hawezi kucheza kama midfielder denis suarez baadae atakuwa kama isco angendelea kukokaa kimpira ana kitu cha ziada
Refa angekua makini tungetoka draw kwa sababu alitubania penalty nyingine mojaacha ushabiki, kama wabovu mbona wamekuweka?? na wewe hukufurukuta kwa lolote na kama refa angekuwa makini madrid angetoka na clean sheet
kuna aja ya little magician na huyo dembele waje haraka aiseee lakini paulinho naona kabisa ni mathew mwingine barcelona nafikiri kuna fraud anafanya huyu bertomeu kama vile mwenzake alivyoenda jera rosellHe was beast jana ,ameitendea haki sana left flank na akawa anarudi ku defend kama kawaida,kwangu mimi alikua ndio man of the match ukijumuisha vigezo vyote vya ku attack na ku defend
Currently politics zimekaa vibaya upande wake anatakiwa awe makini sana hauwezi kumchukua Paulinho ukamuacha Seri au kama alimuhitaji player mwenye experience kwa age huzo kwanini asingemchukua hata Ozil ambaye nataka kuja Barca?kuna aja ya little magician na huyo dembele waje haraka aiseee lakini paulinho naona kabisa ni mathew mwingine barcelona nafikiri kuna fraud anafanya huyu bertomeu kama vile mwenzake alivyoenda jera rosell
ipigwe kura kutokuwa na imani nae tuCurrently politics zimekaa vibaya upande wake anatakiwa awe makini sana hauwezi kumchukua Paulinho ukamuacha Seri au kama alimuhitaji player mwenye experience kwa age huzo kwanini asingemchukua hata Ozil ambaye nataka kuja Barca?
Amemuacha Ceballos ambaye alikua chini ya £ 20M