FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tupo na juve, olympiakos na sporting. Nimefurahi Messi apate chance ya kumdungua bufffon. Tumeshapita. Tena kwa kuongoza kundi.
 
Screenshot_2017-08-24-20-05-35-1.png

King safari hii hatua tu ya makundi nataka awe na goli 10 na inawezekana
 
Nitakuwa wa mwisho kuamin

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Hata akitua coutinho ni mzuri sana kwaajili ya ushindani kwenye midfield pale... Real wanatuzidi sana kwenye eneo la kiungo.. na mahitaji yetu kabla ya Neymar yalikuwa kiungo sasa daaah hata akija dembele shida ya kiungo bado inahitajika

Samsung S8
 
Hata akitua coutinho ni mzuri sana kwaajili ya ushindani kwenye midfield pale... Real wanatuzidi sana kwenye eneo la kiungo.. na mahitaji yetu kabla ya Neymar yalikuwa kiungo sasa daaah hata akija dembele shida ya kiungo bado inahitajika

Samsung S8
Kiungo tulikuwa vibaya kwasababu ya obssesion ya makocha Gomes. Si uliona juzi alivyoliwa kanzu na Modric. Lakini kiungo tupopoa kwasasa. Paulinho ni kiungo mzuri tu. Na bado tuna roberto na Alena. Ukiacha mbali Iniesta, raki na busi. Viungo hao sita wanatutosha sana.

Lakini bado wanaendelea kukomaa na Coutinho. Wanasema wanaweza chukua wote kwa 300m €
 
dembele hatocheza mechi ya jmoc nasisi tumewakomesha dortmund kama walivyotufanyia kwa neymoney
Mbona alikuwa suspended indefinitely. Hakuwa akicheza toka agome mazoezi. Ila jmosi saa moja na robo jioni tutakipiga na Alaves kwao. Paulinho kapata vibali vyote anaweza akakamua.
 
Good news:signing Coutinho ni top priority kwa sasa hivi
Robert Fernandes (technical director Barcelona ) imemlazimu ku fly hadi UK ku finalise deal la Coutinho kabla ya jumatatu kutakua na mlio wa paaa either sisi kushindwa moja kwa moja au kushinda hili deal

Muda huo ,huo team imemruhusu Arda Turan kwenda team yoyote kama free transfer
Nadhani scraper kama Paco Alcacer na Gomez wake wangeruhusiwa hivi hivi ,tunasafisha store but young players waachwe aisee
 
Our need kabla hata Neyma hajaondoka ni attacking au kwa lugha nyingine offensive midfielder thats why coutinho ni top priority au ikishindikana Angel Dimaria ni option pia ila coutinho ana advantage yakucheza kama winger pia (left)
 
Back
Top Bottom