Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Strike force yetu bado haijakaa sawa kutokana na kulundikana kwa back za Juve nyuma-second half naona itakuwa ndefu sana kwa juveHa ha netmeging goal Buffon hata hakujisumbua kuruka wamepigwa chenga yeye na beki wake kwa mpira wa wavu
Afu pia Dembele Hajawa Comfortable sanaa maana naonaa anapotezaa Mpiraa sanaaStrike force yetu bado haijakaa sawa kutokana na kulundikana kwa back za Juve nyuma-second half naona itakuwa ndefu sana kwa juve
Hawa jamaa wamebana sana kule nyuma.Afu pia Dembele Hajawa Comfortable sanaa maana naonaa anapotezaa Mpiraa sanaa
Hao dawa yao tunawafungua kwa penetration na short range passes plus individual brilliance mbona watafunguka tuStrike force yetu bado haijakaa sawa kutokana na kulundikana kwa back za Juve nyuma-second half naona itakuwa ndefu sana kwa juve
Huyu Dembele wamlete kushoto,huku naona kuna opportunity nyingiAfu pia Dembele Hajawa Comfortable sanaa maana naonaa anapotezaa Mpiraa sanaa