FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Strike force yetu bado haijakaa sawa kutokana na kulundikana kwa back za Juve nyuma-second half naona itakuwa ndefu sana kwa juve
Hao dawa yao tunawafungua kwa penetration na short range passes plus individual brilliance mbona watafunguka tu
Wakishambulia tunawapiga counter kuanzia kwa Dembele sifa ya huyu dogo anakimbia sana (left flank) yeye na semedo
 
Back
Top Bottom