Emmanuel Alden
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 387
- 485
Yule mtoto wa shule anaejiita Padre Mcharo sijui yuko online au ashaenda kulala kwa wivu wa kijinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nampenda Sergio Roberto, especially akicheza MD
Anapiga mpira mwingi sana, nafikiri MD anaimudu zaidi kuliko RB.
Nampenda Sergio Roberto, especially akicheza MD
Anapiga mpira mwingi sana, nafikiri MD anaimudu zaidi kuliko RB.
Ndio natural position yake sema kwakua ana uwezo mkubwa hua anapangwa RB lakini yenye design ya wingerNampenda Sergio Roberto, especially akicheza MD
Anapiga mpira mwingi sana, nafikiri MD anaimudu zaidi kuliko RB.
Rb amweke semedo af sergio apande kati...hiki ndo kikosi nipendachoNdio natural position yake sema kwakua ana uwezo mkubwa hua anapangwa RB lakini yenye design ya winger
Ok...first priority ya kocha ni Iniesta au Paulinho (offensive midfielder) na chini defensive midfielder ni Rakitic au MacheranoRb amweke semedo af sergio apande kati...hiki ndo kikosi nipendacho
Yeah hata ratings alipata 6.9 ,ila baada ya Messi (8.5) Paulinho alifuata kwa ku score 7.9Afu jana andre gomez kajtahd kupga mpira fresh tofaut na nlvomzoea
Atletico Bilbao mnazo sababu kubwa 3 kuwafunga hawa Mbwa Leo:
1. Bibi yao Iniesta kavunjika kiuno, pale kati leo njia nyeupeee...
2. Dada Maserano amekuja kusindikiza tu timu, hataingia uwanjani. Namba sita njia nyeupee...
3. Wana uchovu wa Maandamano, Mabomu ya machozi ya jana wakidai waachiwe Catalonia yao kutoka kwa Mabepari wa jiji la Madrid.
Pigeni hawa Mbwa kesho niamke na hela ya supu.
Jamaa akishika mpira hasa kwenye half ya wapinzani huwa nakuwa makini sana kuangalia kitachofuata. Nafikiri md yetu bora itakuwa ya Busi-iniesta-paulinho/roberto.Yeah hata ratings alipata 6.9 ,ila baada ya Messi (8.5) Paulinho alifuata kwa ku score 7.9
Nadhani Paulinho anazidi ku prove kuwa yeye ni wa first eleven
Siku hizi anajitahidi sana. Lile goli la pili nafikiri ni yeye aliyempa pasi Messi. Messi alikuwa anaangalia ampe nani. Suarez kushoto Paulinho kulia. Kampa Suarez, kipa katema mnyama kamaliza.Afu jana andre gomez kajtahd kupga mpira fresh tofaut na nlvomzoea