FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Nampenda Sergio Roberto, especially akicheza MD
Anapiga mpira mwingi sana, nafikiri MD anaimudu zaidi kuliko RB.
Ndio natural position yake sema kwakua ana uwezo mkubwa hua anapangwa RB lakini yenye design ya winger
 
Rb amweke semedo af sergio apande kati...hiki ndo kikosi nipendacho
Ok...first priority ya kocha ni Iniesta au Paulinho (offensive midfielder) na chini defensive midfielder ni Rakitic au Macherano
So sometimes inalazimika acheze no 10 hivi (fake) au sometimes no 7
 
Atletico Bilbao mnazo sababu kubwa 3 kuwafunga hawa Mbwa Leo:

1. Bibi yao Iniesta kavunjika kiuno, pale kati leo njia nyeupeee...
2. Dada Maserano amekuja kusindikiza tu timu, hataingia uwanjani. Namba sita njia nyeupee...
3. Wana uchovu wa Maandamano, Mabomu ya machozi ya jana wakidai waachiwe Catalonia yao kutoka kwa Mabepari wa jiji la Madrid.

Pigeni hawa Mbwa kesho niamke na hela ya supu.

Mascherano ni namba 6?? Pole aise

Kaa utafakari upya na utambue kuwa Messi ndiye Professor/Barcelona .bila yeye Barcelona c chochote.

So Endapo umebarikiwa kuwa na mtoto wa kiume na unataka acheze mpira huna namna zaidi ya kumpenda Mfalme wa soccer kuwahi kutokea.


Na endapo umebarikiwa kuwa na mtoto wa kiume na unataka acheze rugby huna namna zaidi ya kumpenda Cr7.
 
Yeah hata ratings alipata 6.9 ,ila baada ya Messi (8.5) Paulinho alifuata kwa ku score 7.9

Nadhani Paulinho anazidi ku prove kuwa yeye ni wa first eleven
Jamaa akishika mpira hasa kwenye half ya wapinzani huwa nakuwa makini sana kuangalia kitachofuata. Nafikiri md yetu bora itakuwa ya Busi-iniesta-paulinho/roberto.
 
Afu jana andre gomez kajtahd kupga mpira fresh tofaut na nlvomzoea
Siku hizi anajitahidi sana. Lile goli la pili nafikiri ni yeye aliyempa pasi Messi. Messi alikuwa anaangalia ampe nani. Suarez kushoto Paulinho kulia. Kampa Suarez, kipa katema mnyama kamaliza.
 
5e2b9cfccdbc54e2722b28d15bbcd3cf.jpg

huyu dogo kaja tena mara ya pili tangu ahame.
 
Back
Top Bottom