FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

yule msimamizi wa timu....alikuwa anatembelea upepo kwa sasa umeyeya
Kuna kocha mmoja hivi mzoefu sana Europe alikua anamuita Zidane a luck guy ile mwaka jana wakati Madrid wako kwenye peak sikumuelewa alikua anamanisha nini ,secrets started to be revealed


Mimi ni mtabiri wa mabaya Zidane atakuja kufukuzwa Madridi kama paka mwizi nilishasema tangu last sunday
Namaliza!!
 
Bahati yenu mafala nyie...
Jana nilikua nabinya mapummbu madogo wawanyoe midevu yenu...
Kodoeni macho yenu leo muone Mabingwa Watetezi tunavotema cheche London
Hivi jana hukubinya pumbu mpaka zikapasuka kweli?
IMG_5757.JPG
 
Bahati yenu mafala nyie...
Jana nilikua nabinya mapummbu madogo wawanyoe midevu yenu...
Kodoeni macho yenu leo muone Mabingwa Watetezi tunavotema cheche London
Spurs 3-1 fake ronaldo
Njoo tena ukibanabana pua zako ktk jukwaa la kiumeni,,,,,chezea Spurs Wewe. Nabado, mkibahatishaga kucheza game kadhaa poa tu utasikia sijui nani wa kumzuia isco, Mara sijui asensio ni zaidi ya Messi10, sijui isco kacheza zaidi ya Messi10 Leo.

Yaani kwamba hivi kumfananisha Messi10 na wachezaji wenu wa kuungaunga kama isco na nani sijui asensio ni "NI SAWA NA KUMTOA MJUSI MIGUU ILI AWE NYOKA" kitu ambacho hakitakuja kiwezekane hata siku moja, SANA SANA UTAMFANYA AWE KILEMA TU.

Mkome kumlinganisha Mchezaji Bora wa Dunia (Messi10) Muda wote mpaka atakapoacha mpira na wachezaji wenu wa kuungaunga..

Siku ukiwashwawashwa Njoo tena kwenye jukwaa la kiumeni ukunwe, koma kumwanya Wewe, Alaaah!!!!
 
Messi ana Ball On Dor tano unasemaje kuhusu hilo ,tena wakati ana 23 years he had 3 of them na ronaldo alikua anapiga hatrick yake ya kwanza ,natabiri mabaya tena kwa Ronaldo hatakuja kutwaa tena tuzo akiwa na team ya real Madrid hadi anastaafu na jinsi anavyopenda fedha lazima atimkie PSG
 
Back
Top Bottom