FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tetesi
COUTINHO KUMALIZIA MSIMU HUU ANFIELD


Philippe Coutinho wa Liverpool yupo tayari kusubiri hadi mwisho wa msimu kujiunga na klabu ya Barcelona, kwa mujibu wa Daily Mirror .
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazili anatamani kutua Camp Nou kucheza pamoja na Lionel Messi, lakini analazimika kubaki Anfield kwani Liverpool hawatakuwa tayari kumruhusu kuondoka dirisha la uhamisho wa Januari badala yake ataondoka majira ya joto.
 
Back
Top Bottom