Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapenzi mabaya match ya jana sikuangalia now niko live na watch match
Mapenzi mabaya match ya jana sikuangalia now niko live na watch match
Nimeona kwenye highlights wamegongana kama wanakimbizwa na majambazi [emoji23][emoji23][emoji23]Bao la kwanza limepatikana kwa juhudi za Messi,, mfungaji ni suarez....Bao la pili ni la king mwenyewe ni tamu balaa kawapita mabeki wawili wakagongana wenyewe kwa wenyewe then wakaanguka, jamaa akabaki na kipa kituuuuuu 😀😀😀 kanikumbusha mechi ya Argentina na paraguay defences 😀😀😀
Nimeona kwenye highlights wamegongana kama wanakimbizwa na majambazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Bao la kwanza limepatikana kwa juhudi za Messi,, mfungaji ni suarez....Bao la pili ni la king mwenyewe ni tamu balaa kawapita mabeki wawili wakagongana wenyewe kwa wenyewe then wakaanguka, jamaa akabaki na kipa kituuuuuu 😀😀😀 kanikumbusha mechi ya Argentina na paraguay defences 😀😀😀
Messi10 ni intertainer, nilicheka balaa. Meno 34 nje yote 2Bao la kwanza limepatikana kwa juhudi za Messi,, mfungaji ni suarez....Bao la pili ni la king mwenyewe ni tamu balaa kawapita mabeki wawili wakagongana wenyewe kwa wenyewe then wakaanguka, jamaa akabaki na kipa kituuuuuu 😀😀😀 kanikumbusha mechi ya Argentina na paraguay defences 😀😀😀
Shukurani kwa refa hiyo ni kazi yakoUsisahau kumpa sifa zake Refarii, kwanini unakua mwizi wa shukrani ndugu yangu?
HahahaaaNimeona kwenye highlights wamegongana kama wanakimbizwa na majambazi [emoji23][emoji23][emoji23]
Angalia hapa, Messi10 alitaka kumvunja kiuno Modrik. Huyu Jamaa siyo MTU wa kawaida nafikiri huwa ana "pretend" kuwa kama mtu wa kawaida...Bao la kwanza limepatikana kwa juhudi za Messi,, mfungaji ni suarez....Bao la pili ni la king mwenyewe ni tamu balaa kawapita mabeki wawili wakagongana wenyewe kwa wenyewe then wakaanguka, jamaa akabaki na kipa kituuuuuu 😀😀😀 kanikumbusha mechi ya Argentina na paraguay defences 😀😀😀
Messi10 ni intertainer, nilicheka balaa. Meno 34 nje yote 2
PSG afadhali kila mwaka tulikua tunakua tunapewa sisi tu
Basi akili fupi Madrid watasema wanaonewa wakati sisi tumekutana mara tatu in previous 5 years hadi tukawapiga Ramontada
Kabisa Mkuu. Yani Kama Mchezaji Yoyote anataka kuaibishwa, amkabe Mess10 kichwa kichwa. Lazima Ajute Kwanini Alimkaba...😀😀😀 ha ha haaa Ni raha mno kumuona huyu kiumbe akiwa na mpira...
Angalia hapa, Messi10 alitaka kumvunja kiuno Modrik. Huyu Jamaa siyo MTU wa kawaida nafikiri huwa ana "pretend" kuwa kama mtu wa kawaida...![]()