Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Yaani Usipime Mkuu...Ha haa Niliiona iyo Mkuu....ipo nyingine kidogo amkate kiuno Roberto carlos,, Marcelo n.k....namsubiri Chelsea kwa hamu...siku hiyo watamuelewa King 😀😀 nyambafu kabisa
Kabisa Mkuu. Yani Kama Mchezaji Yoyote anataka kuaibishwa, amkabe Mess10 kichwa kichwa. Lazima Ajute Kwanini Alimkaba...![]()
Hivi first leg ni tarehe ngapi vileNawaona the blues wanavyoaibika kwa Barcelona
Sijajua bado mkuuHivi first leg ni tarehe ngapi vile
Messi10 kazaliwa na Mpira Miguuni. Fake ronaldo kajifunzia ukubwani tu, sasa atamkuta SAA ngapi. Na right kama asingekuwa Messi10 katika kizazi hiki, fake ronaldo sidhani kama angeweza kufikisha hata mipira mitatu ya dhahabu (balloon dor)....Mviziaji kaona hali tete kaamua ampigie magoti king....eti ndio best player uyo...
Ha haa Niliiona iyo Mkuu....ipo nyingine kidogo amkate kiuno Roberto carlos,, Marcelo n.k....namsubiri Chelsea kwa hamu...siku hiyo watamuelewa King 😀😀 nyambafu kabisa
Usisahau kumpa sifa zake Refarii, kwanini unakua mwizi wa shukrani ndugu yangu?
OKSijajua bado mkuu
I believe PSG ni wepesi sana kwa RM.Aise bora umewahi kulisema hilo mkuu...maana PAGAN alikuwa teari ashaanza kukulia timing 😀😀
Hilo liko wazi Mkuu!!! Kazi kuviziavizia tu. Mwisho wake umefika. Aende China Akavizie vizie huko Mpira..Nimpe sifa za nini?? Kuna nini kimetokea?? Wewe unafikiri Messi ni mviziaji kama ronaldo...u know that hiyo nafasi anayocheza huyo mviziaji wako lau kama ni Messi anacheza hiyo nafasi nakuhakikishia angelikuwa na magoli 800 mpaka sasa...pale ni uviziaji na penalties tu ndio kinachompa kiburi, na sio mpambanaji kama King /Messi
Messi10 kazaliwa na Mpira Miguuni. Fake ronaldo kajifunzia ukubwani tu, sasa atamkuta SAA ngapi. Na right kama asingekuwa Messi10 katika kizazi hiki, fake ronaldo sidhani kama angeweza kufikisha hata mipira mitatu ya dhahabu (balloon dor)....![]()
Hizi tuzo zimekuwa za kibiashara zaidi. Euro alieiwezesha Ureno kushinda ni Renato Sanchez. Tuzo Ronaldo. Alieiwezesha Madrid La liga na CL unaweza sema ni heroics za kina Ramos na Modric but mtu aliekuwa inconsistent msimu mzima mpk mechi za mwisho ndio anapewa Uchezaji bora.Mviziaji kaona hali tete kaamua ampigie magoti king....eti ndio best player uyo...
Hilo liko wazi Mkuu!!! Kazi kuviziavizia tu. Mwisho wake umefika. Aende China Akavizie vizie huko Mpira..
Hizi tuzo zimekuwa za kibiashara zaidi. Euro alieiwezesha Ureno kushinda ni Renato Sanchez. Tuzo Ronaldo. Alieiwezesha Madrid La liga na CL unaweza sema ni heroics za kina Ramos na Modric but mtu aliekuwa inconsistent msimu mzima mpk mechi za mwisho ndio anapewa Uchezaji bora.
I believe PSG ni wepesi sana kwa RM.
Virarreal wasenge. Nimewabetia laki yangu imeenda na maji.
Ni kweli kabisa Mkuu. Hatokuja kutokea mwngine kama king Messi10. Kama jinsi ambavyo mpaka Leo hakuna Wanasayansi wenye uwezo mkubwa kama akina Albert Einstein, Nikola Tesla, etc. "Messi10 is the Albert Einstein of football".Hahahahahaaa tunamuombea Mungu ampe long life king wetu...hatokuja kutokea tena kama huyu
Thats is my doubt too ila chamoto atakionaSana.....nakubaliana na wewe 100%