Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shughurikia faster hayo maturubai wanasema marehemu alikua na mdomo sana watu wasije wakasusa msiba.Jaman kamati ya maturubali niachien mm kwa kipind chote hiki cha msiba
Huu msiba ni mkubwa jaman tusiwaachie wenyeji tu
Mkuu Usiifananishe Yanga na mambo ya kijinga [emoji23]Et barcelona ni yanga inayolipa mshahara kwa wakat[emoji23][emoji23]
Mwanetu wenyewe aiseeCoutinho mtu mbaya
Hili ni Baraza la wazee la CCMNiambie yupi hapo hakucheza? View attachment 1537552