Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...The king [emoji146] of football is no longer our player!!! Neither Griezmann nor Depay can fill that particular void!!!We have lost a great player, and someone whose presence massively contributed in Barcelona financial gains. Can Griezman or Depay fill the void?
Kweli kabisa. Mi pia ntaendelea kuwa Barca hata siku Ile Wanacheza na Juve friendly game niliwacheki na walijituma kwakweli wakapata ushindi mnono wa goli 3 na wakawa wamemwaga Mfalme kwa ushindi hu0.Injini ya Barcelona imeondoka. Pigo kubwa kuwahi kutokea, na usajili mkubwa kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka. Ushindi wao utakua wa bahati bahati from now.
Aliko Lapulga nikonae, Barcelona pia nitaendelea kuishabikia kama kawa though imepoteza ladha na burudani.
Tutakumiss ssana Mfalme wa soka duniani.
Umemuonaje dogo yusuf demirKweli kabisa. Mi pia ntaendelea kuwa Barca hata siku Ile Wanacheza na Juve friendly game niliwacheki na walijituma kwakweli wakapata ushindi mnono wa goli 3 na wakawa wamemwaga Mfalme kwa ushindi hu0.