Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Man U Vs FC Porto!
mnnnnnnnnnnnnnnnh!!!!!!!!! 🙁
Tumepita tunasubiri nusu fainali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Man U Vs FC Porto!
mnnnnnnnnnnnnnnnh!!!!!!!!! 🙁
Tusubiri tuone ratiba ya nusu fainali itakuwaje?
OK safi sana
Man-Porto VS Arsenal-Vilareall
Barca-Bayern VS Chelsea-Liverpool
kama Arsenal na Barca bingwa ni BARCELONA hiyo fainali ilishachezwa
Looks like everyone has counted Villareal, Porto and Bayern out.....
RR hizi, to be frank, ndo timu zinazoonekana dhaifu kwenye hiyo robo fainali na clubs nyingine zote zilikuwa zinaomba zipate kudroo moja kati ya hizi, lakini people should be worried about Bayern, they are capable of causing a suprise.
...in the 90's, yes!!!
...in the 90's, yes!!!
Mbu what happaned to Sporting Lisbon in the last 16?....unless uniambie kwamba SL wamekua vibonde ghafta? Don' think so...
Nadhani Bayern sio vibonde, japo hawako kwenye perfomance kama ya Man au Baca. Sitashanga wakiwepo Rome hiyo Mei!
Kwani hao wareno walipopigwa hizo bao 12 ilikuwa 90s?
FINAL MATCH; Chelsea????? Vs Manutd
Mark My words....
FINAL MATCH; Chelsea Vs Manutd
Mark My words....
...tuna ishu na kuvuka Bwawa la Maini.