FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Xavi hachezi tikitaka kama ambavyo wengi wanadai humu.....jamaa anacheza gengen na anatumia winga plus pasi ndefu ndefu maana umbali toka kwa mchezaji hadi mchezaji katika passing panel ni mkybwa sana na ndio maana wanapoteza na mipira kiurahisi.
 
Ronaldinho, Xavi, Puyol, Etoo, Messi, Iniesta, Alves, Villa, Abidal na wote wakali waliopita kuanzia 2005 mpaka Messi anaondoka hao ndio ilikuwa ubora wa Barcelona.
Kwasasa hata aje Guardiola tena kwakifupi Barcelona is no more
 
Form ni Temporary, Class ni Permanent

Team kama Bayern, Real na Liverpool hizi zina Class ndiyonama Daima zitakuwepo hata kama zitayuma kwa Misimu miwili au mitatu.

Lakini Timu kama Barcelona kwa kipindi cha miaka 12 aliyotamba ilikuwa ni Form tu (Temporary) that's why imesharudi kwenye uhalisia wake wa average Team.

Haya nendeni Uropa sasa mukacheze na kina Rangers
 
Barca is too good for Eyropa league. Tunafuzu for the next stage hata kama Bayern wakitufunga. Kwani aliesema Lazima Benfica ashinde mechi yake leo ni nani?

Anyway, kwa lolote litakalotokea, nimejiandaa kisaikolojia!
Labda too good kwa jina tu. Kwa sasa ni avarage timu tu ambayo itakua inapambana angalau kubaki top 5 kwenye ligi.

Najaribu kukumbuka tu mlivyokua mnaishambulia Madrid baada ya CR7 kuondoka nabaki kucheka.
 
Form ni Temporary, Class ni Permanent

Team kama Bayern, Real na Liverpool hizi zina Class ndiyonama Daima zitakuwepo hata kama zitayuma kwa Misimu miwili au mitatu.

Lakini Timu kama Barcelona kwa kipindi cha miaka 12 aliyotamba ilikuwa ni Form tu (Temporary) that's why imesharudi kwenye uhalisia wake wa average Team.

Haya nendeni Uropa sasa mukacheze na kina Rangers
Hivi timu inayoyumba kwa misimu miwili unaiita ni class then ilotawala miaka 12 kisha mwaka wa 13 ikayumba unaiita ni Form?

Mkuu kuchambua soka sio kama makalio kusema kila mtu analo. Umechambua upuuzi mkubwa sana sijapata kuusoma hivi karibuni.
 
Barcelona walijichanganya kuchange identity ya Club na kuanza sajili mastar kuanzia 2013 onward, Barca ya 2009-11 nadhani ndio timu bora kutokea duniani, ilitakiwa kureplace mchezaji mmoja mmoja kwa kuzingatia DNA ya Club, wakapoteza sustained dominance lakini im sure barca inarudi with sustained success this time around, wamerudi kwenye basics, wamerudi na Xavi, wamerudi na Gavi.
 
Sasa Barcelona ina tofauti gani na Man City?

Timu kuibuka mwaka 2004 mpaka 2017 huoni kama ni Form tu hiyo?

Before 2004 Barcelona ilikuwa wapi? Unalijua?

Before 2004 Barcelona was nothing! Prove me wrong.

Kiufupi imezaliwa mwaka mmoja na Chelsea.
 
Barcelona walijichanganya kuchange identity ya Club na kuanza sajili mastar kuanzia 2013 onward, Barca ya 2009-11 nadhani ndio timu bora kutokea duniani, ilitakiwa kureplace mchezaji mmoja mmoja kwa kuzingatia DNA ya Club, wakapoteza sustained dominance lakini im sure barca inarudi with sustained success this time around, wamerudi kwenye basics, wamerudi na Xavi, wamerudi na Gavi.

Mkuu DNA huwa ni kama Ngekewa inatokea mara 1 kila baada ya miaka 100.

Ilitokea kwa Man United kizazi cha 1992 kutoka Academy kina Scholes, Giggs, Beckam, Nevill brothers na watangulizi wao! Ikaja kutokea Barcelona kwa Kizazi cha Lamacia cha Kina Xavi, Iniesta, Messi, Piqque, Busquet, Pedro na Watangulizi wao.

Baada ya Hapo Lamacia na Manchester United Academy zimeishia kutoa kina Sarpong na Mugalu tu.

Hivyo hakuna namna sasa wahangaike kusajili Mastaa waishie kupigwa kama wslivyopigwa kwa Coutinho, Dembele, Griezman n.k.
 
[emoji268][emoji268][emoji268]
1638849415192.jpg
1639040047403.jpg
 
Back
Top Bottom