Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huko Europa kwenyewe anaweza akaishia kula kwa machoNangoja muujiza hapa. Europa inawahusu
Bayern Munich 3-0 BarcelonaNgapi huko?
3-0FT ngapi?
R I P Barcelona 😎
Match zote za Champions League amepoteza kwa kupigwa 3-0.R I P Barcelona [emoji41]
Labda too good kwa jina tu. Kwa sasa ni avarage timu tu ambayo itakua inapambana angalau kubaki top 5 kwenye ligi.Barca is too good for Eyropa league. Tunafuzu for the next stage hata kama Bayern wakitufunga. Kwani aliesema Lazima Benfica ashinde mechi yake leo ni nani?
Anyway, kwa lolote litakalotokea, nimejiandaa kisaikolojia!
Hivi timu inayoyumba kwa misimu miwili unaiita ni class then ilotawala miaka 12 kisha mwaka wa 13 ikayumba unaiita ni Form?Form ni Temporary, Class ni Permanent
Team kama Bayern, Real na Liverpool hizi zina Class ndiyonama Daima zitakuwepo hata kama zitayuma kwa Misimu miwili au mitatu.
Lakini Timu kama Barcelona kwa kipindi cha miaka 12 aliyotamba ilikuwa ni Form tu (Temporary) that's why imesharudi kwenye uhalisia wake wa average Team.
Haya nendeni Uropa sasa mukacheze na kina Rangers
Barcelona ilishakufa kitambo, kwa sasa inainuka tena.R I P Barcelona [emoji41]
Barcelona walijichanganya kuchange identity ya Club na kuanza sajili mastar kuanzia 2013 onward, Barca ya 2009-11 nadhani ndio timu bora kutokea duniani, ilitakiwa kureplace mchezaji mmoja mmoja kwa kuzingatia DNA ya Club, wakapoteza sustained dominance lakini im sure barca inarudi with sustained success this time around, wamerudi kwenye basics, wamerudi na Xavi, wamerudi na Gavi.Form ni Temporary, Class ni Permanent
Team kama Bayern, Real na Liverpool hizi zina Class ndiyonama Daima zitakuwepo hata kama zitayuma kwa Misimu miwili au mitatu.
Lakini Timu kama Barcelona kwa kipindi cha miaka 12 aliyotamba ilikuwa ni Form tu (Temporary) that's why imesharudi kwenye uhalisia wake wa average Team.
Haya nendeni Uropa sasa mukacheze na kina Rangers
Hivi timu inayoyumba kwa misimu miwili unaiita ni class then ilotawala miaka 12 kisha mwaka wa 13 ikayumba unaiita ni Form?
Mkuu kuchambua soka sio kama makalio kusema kila mtu analo. Umechambua upuuzi mkubwa sana sijapata kuusoma hivi karibuni.
Barcelona walijichanganya kuchange identity ya Club na kuanza sajili mastar kuanzia 2013 onward, Barca ya 2009-11 nadhani ndio timu bora kutokea duniani, ilitakiwa kureplace mchezaji mmoja mmoja kwa kuzingatia DNA ya Club, wakapoteza sustained dominance lakini im sure barca inarudi with sustained success this time around, wamerudi kwenye basics, wamerudi na Xavi, wamerudi na Gavi.