Mkuu DNA huwa ni kama Ngekewa inatokea mara 1 kila baada ya miaka 100.
Ilitokea kwa Man United kizazi cha 1992 kutoka Academy kina Scholes, Giggs, Beckam, Nevill brothers na watangulizi wao! Ikaja kutokea Barcelona kwa Kizazi cha Lamacia cha Kina Xavi, Iniesta, Messi, Piqque, Busquet, Pedro na Watangulizi wao.
Baada ya Hapo Lamacia na Manchester United Academy zimeishia kutoa kina Sarpong na Mugalu tu.
Hivyo hakuna namna sasa wahangaike kusajili Mastaa waishie kupigwa kama wslivyopigwa kwa Coutinho, Dembele, Griezman n.k.