FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mkuu DNA huwa ni kama Ngekewa inatokea mara 1 kila baada ya miaka 100.

Ilitokea kwa Man United kizazi cha 1992 kutoka Academy kina Scholes, Giggs, Beckam, Nevill brothers na watangulizi wao! Ikaja kutokea Barcelona kwa Kizazi cha Lamacia cha Kina Xavi, Iniesta, Messi, Piqque, Busquet, Pedro na Watangulizi wao.

Baada ya Hapo Lamacia na Manchester United Academy zimeishia kutoa kina Sarpong na Mugalu tu.

Hivyo hakuna namna sasa wahangaike kusajili Mastaa waishie kupigwa kama wslivyopigwa kwa Coutinho, Dembele, Griezman n.k.
Mimi nadhani ni Management ilijikuta na vision tofauti na DNA ya Barca ndipo anguko lilipoanzia, kuishi kwenye Barcelona's way was possible, Mfano Ajax miaka yote anapiga total football na unapigwa mwingi hadi unamwagika, haijalishi nani yupo nani kaondoka.
 
Mnaongea sana ila kitu kimoja mmekisahau au mnaona aibu kukisema. Kwa miaka isiyopungua mitano timu ilikua inahangaika kusajili wachezaji kwajili ya mchezaji mmoja badala ya timu. Matokeo yake ikawa ni kusajili na kutimua msimu unaofata, kisa aliyesajiliwa haendani na mchezaji husika.
Kwani hizo timu nyingine zinazofanya vizuri zinategemea academy??
 
Hivi timu inayoyumba kwa misimu miwili unaiita ni class then ilotawala miaka 12 kisha mwaka wa 13 ikayumba unaiita ni Form?

Mkuu kuchambua soka sio kama makalio kusema kila mtu analo. Umechambua upuuzi mkubwa sana sijapata kuusoma hivi karibuni.
Mwenyewe anajiona kachambuuuua.

Aaah nimecheka sana.
 
Barca ni ile ile, eeeh ni ile ileeeeee.
Acha waisome nambaaa eehh ....

Ft. Osasuna 2 Barca 2
 
Sasa Barcelona ina tofauti gani na Man City?

Timu kuibuka mwaka 2004 mpaka 2017 huoni kama ni Form tu hiyo?

Before 2004 Barcelona ilikuwa wapi? Unalijua?

Before 2004 Barcelona was nothing! Prove me wrong.

Kiufupi imezaliwa mwaka mmoja na Chelsea.
Una matatzo wewe

Sema kabla ya 2004 ulikuwa bado unanyonya huko

Hivi unafahamu hata Maradona amekiwasha sana Barcelona au unaongea tu
 
Una matatzo wewe

Sema kabla ya 2004 ulikuwa bado unanyonya huko

Hivi unafahamu hata Maradona amekiwasha sana Barcelona au unaongea tu
Before mwaka 2006 barca labda alikuwa dorminant huko kwenye la liga tu... Kwenye international tournaments hakuwa na majabu yoyote....

between 2006 na 2015 barca kachukua uefa 4
 
Before mwaka 2006 barca labda alikuwa dorminant huko kwenye la liga tu... Kwenye international tournaments hakuwa na majabu yoyote....

between 2006 na 2015 barca kachukua uefa 4
Jaribu hata kuingia Wikipedia kuliko kuongea huo upupu hapa

Magwiji wote wakubwa wa soka duniani walipita Barcelona
 
Jaribu hata kuingia Wikipedia kuliko kuongea huo upupu hapa

Magwiji wote wakubwa wa soka duniani walipita Barcelona
Hujaelewa nilichoandika....

Sasa kupita magwiji ndio nini?

Kabla ya 2006 ulikuwa na makombe mangapi ya kimataifa.

Punguza ujuaji.
 
Hujaelewa nilichoandika....

Sasa kupita magwiji ndio nini?

Kabla ya 2006 ulikuwa na makombe mangapi ya kimataifa.

Punguza ujuaji.
Magwiji ndio Nini hivi unaelewa unachokisema kweli?
 
Naona stress za uropa zilikuwa zinakusumbua.

Haya Napoli huyo nenda ukanyooshwe mapemaaa unatolewa.
Mara ya Mwisho Barcelona kushiriki Europe ni mwaka 2001 haya timu yako mara ya Mwisho ni mwaka gani[emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu anatokea mshabiki wa Nachingwea ndanindani anakwambia Barcelona ni timu ndogo

Huku anasahau Ulaya nzima Barcelona ndio inaongoza kwa kuchukua jumla ya makombe mengi kwa ngazi ya club
 
Mara ya mwisho barca kushiriki Uropa ni 2021.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Una matatzo wewe

Sema kabla ya 2004 ulikuwa bado unanyonya huko

Hivi unafahamu hata Maradona amekiwasha sana Barcelona au unaongea tu

Kwahiyo Maradona kupita Barcelona kuna uhusiano gani na Comment yangu?

Nadhani ulikuwa bado hujazaliwa mwaka 1994 Barcelona ikiwa na Maradona wako ilikula Migoli 4 mizito kutoka kwa AC Milan kwenye Fainali ya UCL.

Ndiyo Fainali mbovu kuwahi kutokea.
 
Mara ya Mwisho Barcelona kushiriki Europe ni mwaka 2001 haya timu yako mara ya Mwisho ni mwaka gani[emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu anatokea mshabiki wa Nachingwea ndanindani anakwambia Barcelona ni timu ndogo

Huku anasahau Ulaya nzima Barcelona ndio inaongoza kwa kuchukua jumla ya makombe mengi kwa ngazi ya club
makombe yapi? labda mic mouse cup kama copa del rey, la liga mko nyuma ya Madrid, uefa hamjaifikia Milan, bayern ,liver, kifupi ni timu iliibuka 2006 ghafla baada ya kubahatika kuwa na vipaji ,sasa inarudi ilipotoka before 2006
 
Back
Top Bottom