FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dembele ameambiwa aondoke barca atafute club nyingine kabla ya tar 31/01/2022.
Kazidisha maringo. Anataka mipesa mingi sana wakati anaspend muda mwingi hospitali kuliko uwanjani. Alichokosea zaidi yeye na agent wake, ni kuchelewesha makubaliano mpaka transfer window inakaribia kufungwa akijua ataweza kulazimisha apewe pesa anayotaka.

Ameshaambiwa, either asaini au auzwe this January. Tofauti na hapo, kama atalazimisha kubaki ili aondoke kama free agent, basi hatapewa nafasi ya kucheza. Kamwaga mboga, sisi "tunamanga" ugali. Ngoja tuone nani atalala njaa!
 
Mpuuzi sana yule kijana, mbona mwenzake Umtiti kakubali mkataba mpya tena wenye maslahi pungufu. Hata hivyo Barca ina uvumilivu kwa mchezaji ambaye ametumia muda mwingi wodini kuliko uwanjani. Hana lolote kubwa analolifanya kwa ajili ya timu, tena ikitokea amehamia timu nyingine huenda hata nusu ya mshahara ambao Barca walikuwa wamempatia asiupate maana timu nyingi kubwa mifukoni pamekauka.
 
Back
Top Bottom