FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FLgia-0UcAE09Gr.jpeg
 
Jana Xavi katunyima ushindi. Hakuna la maana alilokua analifanya Ferran Torres. Alitakiwa kumtoa mapema. Kwa zile cross za Adama, Luuk de jong angetupia headers hata tatu.

Alafu kuna huyu Auba. Ni bado hajazoea, au ni garasa kweli? Nashindwa kumuelewa!
Kuhusu it's a matter of time tuwe na subira ata huyo luck de Jong alikua kariba pressure iyo iyo ila now si unamuona anavotusave yan[emoji111] #vivaBarca[emoji93]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nadhani Luuk de Jong anatakiwa apewe muda mwingi zaidi wa kucheza. Angalia style yetu siku hizi, tunapiga cross nyingi sana. Shida ni kua hakuna finisher wa uhakika wa mipira ya juu.

Ukiwa na Luuk de Jong, unakua na uhakika kwa cross mbili zitakazomkuta, moja anatia kamba. Xavi amuangalie, sio mtu wa kuingia dakika ya 88 huko, tukiwa desperate kupata matokeo. He's an expert when it comes to aerial balls!
 
Jana Xavi katunyima ushindi. Hakuna la maana alilokua analifanya Ferran Torres. Alitakiwa kumtoa mapema. Kwa zile cross za Adama, Luuk de jong angetupia headers hata tatu.

Alafu kuna huyu Auba. Ni bado hajazoea, au ni garasa kweli? Nashindwa kumuelewa!
aubaaa garasa lililopelekwa kukuza kiwango
 
Back
Top Bottom