Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16] viva Barca tunafufuka sasa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mshajifia nyie.
Jana Xavi katunyima ushindi. Hakuna la maana alilokua analifanya Ferran Torres. Alitakiwa kumtoa mapema. Kwa zile cross za Adama, Luuk de jong angetupia headers hata tatu.
Kuhusu it's a matter of time tuwe na subira ata huyo luck de Jong alikua kariba pressure iyo iyo ila now si unamuona anavotusave yan[emoji111] #vivaBarca[emoji93]Jana Xavi katunyima ushindi. Hakuna la maana alilokua analifanya Ferran Torres. Alitakiwa kumtoa mapema. Kwa zile cross za Adama, Luuk de jong angetupia headers hata tatu.
Alafu kuna huyu Auba. Ni bado hajazoea, au ni garasa kweli? Nashindwa kumuelewa!
Mimi nadhani Luuk de Jong anatakiwa apewe muda mwingi zaidi wa kucheza. Angalia style yetu siku hizi, tunapiga cross nyingi sana. Shida ni kua hakuna finisher wa uhakika wa mipira ya juu.Kuhusu it's a matter of time tuwe na subira ata huyo luck de Jong alikua kariba pressure iyo iyo ila now si unamuona anavotusave yan[emoji111] #vivaBarca[emoji93]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Dah huu utani sasa[emoji16][emoji16][emoji16] utaumiza anyway tunamfata messi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Dah huu utani sasa[emoji16][emoji16][emoji16] utaumiza anyway tunamfata messi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
aubaaa garasa lililopelekwa kukuza kiwangoJana Xavi katunyima ushindi. Hakuna la maana alilokua analifanya Ferran Torres. Alitakiwa kumtoa mapema. Kwa zile cross za Adama, Luuk de jong angetupia headers hata tatu.
Alafu kuna huyu Auba. Ni bado hajazoea, au ni garasa kweli? Nashindwa kumuelewa!
Kuwa na akiba ya maneno mkuu,,itakusaidia maishaniaubaaa garasa lililopelekwa kukuza kiwango
Sio kama ndo tunarudi mdogomdogo.Kama vile tunarudi hivi![]()
![]()
For sure ila kwanza tufight hii spot ya kushirki UEFA maan ni aibu sisi kucheza Europa sio siriSio kama ndo tunarudi mdogomdogo.
Cha muhimu ku maintain our winning mentality tu.
Visca el barca.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amkeni amkeni, unaambiwa Xavi Hernandez ni Pep Guardiola mtupu.
Lilikuwa ni suala la muda tu.