FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

messi_1405148c.jpg

PIXX.jpg

Sura nyingine zinawaudhi eh? Hili ni pozi wakati flani hivi...
 
sir-alex-ferguson_1411426c.jpg

Sir Alex Ferguson and his Manchester United team inspect the pitch before the Champions League final
Photo: AFP
 
Line up ni kama ifuatavyo

Barcelona
Valdes, Toure, Puyol, Pique, Sylvinho, Xavi, Busquets, Iniesta, Messi, Henry and Eto'o

Manchester United
Van der Sar, O'Shea, Ferdinand, Vidic, Evra, Anderson, Carrick, Giggs, Park, Ronaldo and Rooney

Naomba msiniongelesha mpaka kipenga cha mwisho...lol...

...Ohooo! wa kwanza huyu... ngoja nikupe ushauri nasaha kabla mambo hayajaharibika! kufungwa ni matokeo. Kutoongeleshwa hakubadilishi matokeo ya uwanjani!

Kumbuka maisha ni lazima yaendelee, kuna majukumu makubwa maishani kuliko kufungwa na Barcelona! Kumbuka priorities zako za kesho, wiki ijayo, mwezi ujao na mwakani, esp mabandiko yako JF...

Icadon, matokeo yakiwa mabaya Dont even think of "killing" yourself, please!!! 🙁
 
Icadon, matokeo yakiwa mabaya Dont even think of "killing" yourself, please!!! 🙁
As I can bet, he will quit for sometime. He can't go for that Kenyan (Arsrenal?) style
 
kuna shori ni man u basi taabu kweri kweri......inabidi nishangilie man u nikiwa nae kimoyo moyo mie barcelona...
 
Naona maandalizi yote yashakamilika sasa, wamejiandaa vema kabisa. I can bet Man 1 Barca 2....!
 
Haha, post ya 4,000 nilikuwa nataka kuireserve kwa ajiliya kipenga cua mwisho, niko mobile so kukiwa na typo samahani. Naangalia game kwenye Irish pub, kuna mimtu imevaa jezi za arsenal, Chelsea, stoke city.
 
kuna shori ni man u basi taabu kweri kweri......inabidi nishangilie man u nikiwa nae kimoyo moyo mie barcelona...
Huwezi kumficha daima, utajikuta unashangilia wakifungwa Man U,,, teh teh teh
 
MZIZI WA FITINA kukatwa leo; hakuna kuandikia mate tena, leo ndio leoooooo -- LONG LIVE MAN UNITED. Ronaldo oyeee!
 
Mwiteni MM Mwanakijiji aje huku kwenye michezo aachane na Lowassa kwenye siasa!
 
Haha, post ya 4,000 nilikuwa nataka kuireserve kwa ajiliya kipenga cua mwisho, niko mobile so kukiwa na typo samahani. Naangalia game kwenye Irish pub, kuna mimtu imevaa jezi za arsenal, Chelsea, stoke city.
Ebanaeeeeeeeeeee.....

Hehehehehehehehe

Mkuu kwanza hongera kwa post ya 4,000! Kisha, nakuombea timu ishinde ili hizo pongezi tuzitoe kwa madaha haswa huku ukikandamiza "Thanks" mara lukuki
 
Naam,

Rangi nyekundu naona inachukua nafasi yake. Zinaimbwa nyimbo za mataifa ya timu zote mbili....

Si mchezo!
 
Mwiteni MM Mwanakijiji aje huku kwenye michezo aachane na Lowassa kwenye siasa!

hahah nimejikuta nacheka mwenyewe baada ya kusoma hii post lol, hawa waungwana hapa hawanielewi nacheka nini.

Invisible History is made by winners...jamani mie mwenzenu kukaa kugumu hahaha...atmosphere ya leo nzuri kuliko ile ya Moscow.
 
Nadhani line up ya Man U na za Barca mmeziona na kuona kuwa Ronaldo yupo, huenda msiwe naye next year...
 
Invisible History is made by winners...jamani mie mwenzenu kukaa kugumu hahaha...atmosphere ya leo nzuri kuliko ile ya Moscow.
Usinikumbushe Moscow! Tulikosa penalti baada ya Terry kuteleza na kukosa penalti! I hate the town...

Inaelekea Man U watapata goli dakika za mwanzo!
 
Back
Top Bottom