Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 193
Hehehehehe!
Wacha weee!!!! Mpaka umekiri? LoL 🙂 🙂 🙂
Ofcourse sijaanza kuangalia mpira season iliyopita..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehehe!
Wacha weee!!!! Mpaka umekiri? LoL 🙂 🙂 🙂
ndio ukubwa huo
Nina dogo mmoja hapa kwangu namshukuru Mungu hii si Arsenal, angejitundika wallahi! Analia si kawaida teh teh teh teh!Ofcourse sijaanza kuangalia mpira season iliyopita..
Nina dogo mmoja hapa kwangu namshukuru Mungu hii si Arsenal, angejitundika wallahi! Analia si kawaida teh teh teh teh!
MN
Ni kweli, ukubwa jiwe..Du! Ila Barca wanaichezea sana Man leo.
Wanastahili kushinda na wameshashinda..
Haya ndo maneno ya mshindani!Mwambie ndio kushabikia michezo, kuna kushinda na kushindwa, ila kwa leo nakubali hands down like six thirty Barcelona wamecheza like champions.
inonekana walijiandaa vya kutoshaMN
Ni kweli, ukubwa jiwe..Du! Ila Barca wanaichezea sana Man leo.
Wanastahili kushinda na wameshashinda..
Leo naona BAZOKA imeisha utamu!!! heheheheeee
![]()
Xavi alipokosa bao!
...🙂 haya!