FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mechi nzuri. Ila Alex Ferguson naona leo ideas zilimuishia. Sikumuelewa kwa nini alichezesha strickers wanne (Rooney, Ronaldo, Tevez na Babatov) na kuua mildfield (kuwatoa Anderson, Giggs na Park).
sir faga leo alifanya biashara ya kutoa ndizi mwanza kuzipeleka bukoba......yeye aliona kabisa barca wana fabulous midiflders eti kamuingiza yule goi goi babatov....alafu kosa lingine kafanya kwanini mkongwe scholes hakuanza?
 
leo lazima nipate nightmares..........bahat mbaya maduka yote uswahilini kwe2 yamefungwa...atleast ningenunua sleeping pills....mmmmmhhhhh.....2 bila majibu.....!!!!!!!!.....
 
Wakuu,

Barcelona walikuwa wakitawala mchezo kwa kumiliki mpira wakicheza watakavyo na kuwaambia Man U kwamba waende wauchukue mpira. Si Rooney, Ronaldo, Carrick wala Vidic waliweza kuwanyan'ganya mpira Messi, Xavi na Iniesta.

Hio nafikiri ndio ilikuwa ni lesson ya leo kutoka kwa kocha mdogo wa Barcelona Pep Guardiola( ana miaka 38).

European football siku zote unatakiwa uwe unamiliki mpira, kuucheza na ukipata nafasi unafunga.

shhhhhhhhhh! ...kama Arsenal 😀
 
Kati yenu wote mliochangia kuondoa mimi na belinda nani ni shabiki wa Barcelona damu damu?

Kila kona naona watu wananichafulia hali ya hewa lol, si facebook si MSN yani balaa tupu......ila kuna siri moja washabiki wengi wa Man U wanasupport Barcelona chini kwa chini.....Mwisho wa siku the best team won, na kama mwanachama wa Manchester United nakubali kuwa leo tumefundishwa machungu ya kufungwa season hii.

Nikumbusheni kati ya makombe matano tumeshinda mangapi?
 
Mechi nzuri. Ila Alex Ferguson naona leo ideas zilimuishia. Sikumuelewa kwa nini alichezesha strickers wanne (Rooney, Ronaldo, Tevez na Babatov) na kuua mildfield (kuwatoa Anderson, Giggs na Park).

kwani hao Anderson, Giggs na Park walifurukuta kipindi cha kwanza?
leo Man U mlizidiwa kila pembe, mkubali tu.
 
Kati yenu wote mliochangia kuondoa mimi na belinda nani ni shabiki wa Barcelona damu damu?

Kila kona naona watu wananichafulia hali ya hewa lol, si facebook si MSN yani balaa tupu......ila kuna siri moja washabiki wengi wa Man U wanasupport Barcelona chini kwa chini.....Mwisho wa siku the best team won, na kama mwanachama wa Manchester United nakubali kuwa leo tumefundishwa machungu ya kufungwa season hii.

Nikumbusheni kati ya makombe matano tumeshinda mangapi?

...ohoooo, unaanza kutafuta mchawi kwenye kambi yako sasa,...Nziku, Manda, Belo, Saikosisi, Mtaalamu umewasahau? au ndio hao unaowaita wanachekelea ushindi wa Barca?
 
lionel_messi-ferd_1411520i.jpg

Killer blow:
Lionel Messi wheels away after scoring Barcelona's second goal

That's new adidas F50i boot na ameivaa leo kwa mara ya kwanza.
 
mie man u kweli siwapendi napenda good football ambayo man u hawana......sio mshabiki wa arsenal sababu napo sitaki presha ila nawapenda kwa soka lao......

......Nuggets sasa wasiniangushe baadae
 
Duh, kuna mithread kama mitano yote inazungumzia kufungwa, inamaana mnatupenda kiasi hicho au? Yani I'm so dead hehehe, yani nina kazi ya kupambana na mashabiki wa Arsenal, Chelsea, na Liverpool noma tupu leo!!
 
leo lazima nipate nightmares..........bahat mbaya maduka yote uswahilini kwe2 yamefungwa...atleast ningenunua sleeping pills....mmmmmhhhhh.....2 bila majibu.....!!!!!!!!.....

...ukiji overdose tutakulaza futi sita chini ya ardhi. Taratibu bana!

That's new adidas F50i boot na ameivaa leo kwa mara ya kwanza.

...te he he! 😀 eti kiatu kipya,... ha ha haa... kwa utani huu ngoja niwapishe!

...nite Guys & Dolls
 
imagine MAN INGEKUWA TIMU YA BONGO..lazima angetafutwa mchawi na aliyesababisha timu kufungwa na wangekuja na masababu kibao..!!!!!!!........ungesikia.............
"TUMEFUNGWA SABABU HATUKUVAA JEZI ZETU NYEKUNDU ZA SIKU ZOTE...ZILE NYEUPE WACHEZAJI HAWAJAZIZOEA........"......

...ukiji overdose tutakulaza futi sita chini ya ardhi. Taratibu bana!

...te he he! 😀 eti kiatu kipya,... ha ha haa... kwa utani huu ngoja niwapishe!

...nite Guys & Dolls

hehe...upele umepata mkunaji leo jiachi Mbu angalau utapooza machungu leo
 
Mechi nzuri. Ila Alex Ferguson naona leo ideas zilimuishia. Sikumuelewa kwa nini alichezesha strickers wanne (Rooney, Ronaldo, Tevez na Babatov) na kuua mildfield (kuwatoa Anderson, Giggs na Park).

One word......DESPERATION.
 
leo lazima nipate nightmares..........bahat mbaya maduka yote uswahilini kwe2 yamefungwa...atleast ningenunua sleeping pills....mmmmmhhhhh.....2 bila majibu.....!!!!!!!!.....

Piga bia moto!
 
ebwana daah! dats deadly LIONEL MESSI' YULE DOGO NI MWENDAWAZIMU, ILE HEADER NI PROFESIONAL, I THOT BALL INGEKWENDA OUT BT MMMH!
 
NIMEPEWA NA MUNGU HII RANGI NAMI NAWAPA HILI GOLI ZAWADI YENU JAPO MPATE KUMJUA YEYE HABAGUI- By Etoo.
 
angry%20man.jpg

Weye Invisible, hebu funga hili li-thread lako, TSCHENZY TYPE!!!!!
 
Back
Top Bottom