Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...shabiki wa Chelsea utamjua tu 🙂 Barcelona waliwafunga nini kwenye michuano hii?
sir faga leo alifanya biashara ya kutoa ndizi mwanza kuzipeleka bukoba......yeye aliona kabisa barca wana fabulous midiflders eti kamuingiza yule goi goi babatov....alafu kosa lingine kafanya kwanini mkongwe scholes hakuanza?Mechi nzuri. Ila Alex Ferguson naona leo ideas zilimuishia. Sikumuelewa kwa nini alichezesha strickers wanne (Rooney, Ronaldo, Tevez na Babatov) na kuua mildfield (kuwatoa Anderson, Giggs na Park).
Wakuu,
Barcelona walikuwa wakitawala mchezo kwa kumiliki mpira wakicheza watakavyo na kuwaambia Man U kwamba waende wauchukue mpira. Si Rooney, Ronaldo, Carrick wala Vidic waliweza kuwanyan'ganya mpira Messi, Xavi na Iniesta.
Hio nafikiri ndio ilikuwa ni lesson ya leo kutoka kwa kocha mdogo wa Barcelona Pep Guardiola( ana miaka 38).
European football siku zote unatakiwa uwe unamiliki mpira, kuucheza na ukipata nafasi unafunga.
Mechi nzuri. Ila Alex Ferguson naona leo ideas zilimuishia. Sikumuelewa kwa nini alichezesha strickers wanne (Rooney, Ronaldo, Tevez na Babatov) na kuua mildfield (kuwatoa Anderson, Giggs na Park).
Kati yenu wote mliochangia kuondoa mimi na belinda nani ni shabiki wa Barcelona damu damu?
Kila kona naona watu wananichafulia hali ya hewa lol, si facebook si MSN yani balaa tupu......ila kuna siri moja washabiki wengi wa Man U wanasupport Barcelona chini kwa chini.....Mwisho wa siku the best team won, na kama mwanachama wa Manchester United nakubali kuwa leo tumefundishwa machungu ya kufungwa season hii.
Nikumbusheni kati ya makombe matano tumeshinda mangapi?
![]()
Killer blow: Lionel Messi wheels away after scoring Barcelona's second goal
leo lazima nipate nightmares..........bahat mbaya maduka yote uswahilini kwe2 yamefungwa...atleast ningenunua sleeping pills....mmmmmhhhhh.....2 bila majibu.....!!!!!!!!.....
That's new adidas F50i boot na ameivaa leo kwa mara ya kwanza.
...ukiji overdose tutakulaza futi sita chini ya ardhi. Taratibu bana!
...te he he! 😀 eti kiatu kipya,... ha ha haa... kwa utani huu ngoja niwapishe!
...nite Guys & Dolls
Mechi nzuri. Ila Alex Ferguson naona leo ideas zilimuishia. Sikumuelewa kwa nini alichezesha strickers wanne (Rooney, Ronaldo, Tevez na Babatov) na kuua mildfield (kuwatoa Anderson, Giggs na Park).
Mechi imeisha MAN UNITED wamelowaaaaaaaaaaaaaa chepechepe!
leo lazima nipate nightmares..........bahat mbaya maduka yote uswahilini kwe2 yamefungwa...atleast ningenunua sleeping pills....mmmmmhhhhh.....2 bila majibu.....!!!!!!!!.....