Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtakutana na Madrid na mtapigwa kama ngoma.Hey cules.
Game ya jana tumempiga PSG akiwa home.
Mechi ijayo tukikaza tukawatoa kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na vijana wa El Cholo (ATM) nusu fainali.
Watu wengi hawatupi nafasi kutokana na changamoto tunazopitia na form yetu kutokuwa na consistency
Ikitokea tunacheza nusu fainali na Atletico kuna uwezekano mkubwa sana wa kutoboa fainali.
Vipi maoni yenu cules wenzangu ikitokea tumetoboa mpaka fainali?
Tatizo sio kukutana na Madrid final.Mtakutana na Madrid na mtapigwa kama ngoma.
Mimi toka draw inapangwa nilivyoona tu path yetu kuna Dortmund/Atleti/PSG i saw the possibility to reach the final,Why? quality ya hizi team na team yetu hatuachani sana.Barca watu wanaichukulia poa but believe this team Ina quality ya ku battle na team yoyote Ile ulaya,mtu anaesema Barca ana form mbaya aniambie toka Xavi atangaze kuondoka ,lini imepata worse results/performance?. Game ya PSG still Bado ipo open,but haitakua rahisi kwao kutoboa kwenye atmosphere yetu. Tukimtoa PSG. still Atleti/ Dortmund sio threat kwetu.Simeone tu kashapigwa san na Xavi,so nafasi kubwa tu tunayo.Hey cules.
Game ya jana tumempiga PSG akiwa home.
Mechi ijayo tukikaza tukawatoa kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na vijana wa El Cholo (ATM) nusu fainali.
Watu wengi hawatupi nafasi kutokana na changamoto tunazopitia na form yetu kutokuwa na consistency
Ikitokea tunacheza nusu fainali na Atletico kuna uwezekano mkubwa sana wa kutoboa fainali.
Vipi maoni yenu cules wenzangu ikitokea tumetoboa mpaka fainali?
Based on our previous achievement personally ntakua surprised.Lakini Kutokana na quality na form tuliyonayo sitakua surprised kabisa na itakua proper farewell Kwa Xavi.Hey cules.
Game ya jana tumempiga PSG akiwa home.
Mechi ijayo tukikaza tukawatoa kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na vijana wa El Cholo (ATM) nusu fainali.
Watu wengi hawatupi nafasi kutokana na changamoto tunazopitia na form yetu kutokuwa na consistency
Ikitokea tunacheza nusu fainali na Atletico kuna uwezekano mkubwa sana wa kutoboa fainali.
Vipi maoni yenu cules wenzangu ikitokea tumetoboa mpaka fainali?
PSG safari imeiva hiyo game ya kucheki ni ya Dortmund anaweza kupindua matokeoHii game tupambane tushinde.
Hawa PSG wameshaelekea kibla.
Tupeni link wadau
Wewe ni muongowajerumani leo wanapeleka msiba spain
Condom pakti tatu.Hii game tupambane tushinde.
Hawa PSG wameshaelekea kibla.