Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
BARCENYETO hameni ligi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumwa weweMsimu huu mjikutana na Madrid ,mtajuta kuingiza timu uwanjani
Mamaeee huku vini huku Mbappe huku Rodrigo huku bellingham
Mtajua kilichomtoa manyoya mwewe
Msimu huu mkikutana na Madrid ,mtajuta kuingiza timu uwanjani.
Mamaeee huku vini huku Mbappe huku Rodrigo huku bellingham ,ni mpera mpera mwanzo mwisho
Mtajua kilichomtoa manyoya kuku kishingo
Nitakuja kukujibu tukishamchukua Nico williamMsimu huu mkikutana na Madrid ,mtajuta kuingiza timu uwanjani.
Mamaeee huku vini huku Mbappe huku Rodrigo huku bellingham ,ni mpera mpera mwanzo mwisho
Mtajua kilichomtoa manyoya kuku kishingo
Hivi huyo mtoto anaweza kutua barcaNitakuja kukujibu tukishamchukua Nico william
Tatizo la Barca ni hela kwa sasa ila nadhani president anataka kufanya kila liwezekanalo dogo atue paleHivi huyo mtoto anaweza kutua barca
Hujielewi mzeeBarcenyeto
Tumeshamchukua huyu dogo?Welcome Nico Williams forca Barca
Swala la mda tu shuhuli ishaishaTumeshamchukua huyu dogo?
Itakuwa poa sana tukimpata huyu dogo.Swala la mda tu shuhuli ishaisha
Sanaa yupo vizuriItakuwa poa sana tukimpata huyu dogo.
Ubavu akitulia huyu ubavu lamine yamal patakuwa hapatoshi.
Vipi uwezekano wa kuwapata hao madogo ni mkubwaNicco Williams na Dani Olmo wataleta uimara kwa kiasi kikubwa sana kwenye ushambuliaji wetu kama tutawapata wote.
Shida yetu inabaki kwa defensive midfielder. Bila kumpata mtu wa maana hapo, bado tutapata tabu!